Nimeibiwa IST maeneo ya Tegeta kibaoni karibu na KB Bar

mekumeti

Senior Member
Jul 30, 2015
130
39
5364ef83655aa0ebf80d91897294f558.jpg
8137167973e293c13b42f454cf58dd0c.jpg

0713 279 404
 
Duuuu masikini,ilikuaje tena?najua umechanganyikiwa but to a maelezo kidogo kuwa ulipark hapo kwa muda au uliiacha hapo toka jana au umeporwa??!Hii itasaidia kwa sisi Wengine ndg.
POLE SANA KIONGOZI
 
Hizo picha ulizotuma ni kama iko showroom. Sitaki niharibu faili ila inatoa fununu (little details pa kuanzia) fulani kwa mbali na precautions in the future. Pole sana mkuu.
 
Ulipo NUNUA hukutupa TAARIFA....
Ulipotukuta BARABARANI hukutupa LIFT.
LEO hii KAMEIBIWA, unatupa taarifa tusaidie KAPATIKANE...!!

UBUNTU, UBINAADAMU kazi kweli kweli.
Haya bwana, ngoja leo NIZURURE barabara zote, nijaribu KUKATAFUTA.

Pole sana MKUU..
Karibu kwenye ulimwengu wa MAAJABU...ULIMWENGU wa Mwendo kasi..
 
Back
Top Bottom