Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Hapana dereva sikuwa na hofu naye kabisa. Ule wizi ulikuwa hivi wakifika mahali wanaamuru dereva yeyote wanayemkuta njiani atoe gari wabadili na kuweka mzigo na kutelekeza waliyo nayo hapo. Hivyo magari kadhaa ya raia yalimika na mengine yalipigwa risasi maana walikuwa wanafukuziwa kwa magari ya police mpaka Helicopter. Bahati nzuri gari yangu ndiyo ilitumika kufikisha mzigo huko wajuao wao na haikupigwa risasi yeyote. Nilichosema ni kwamba ushahidi wa dereva wangu ulikuwa wa maana Sana maana aliwatambua karibu wote siku ya parade mpaka aliyemwekea mtutu wa Bunduki. Na maelezo aliandika kituo cha polisi fulani yaliyonyooka mno. Nisiseme Sana kuhusu Yale maelezo kilichofanyika huko kwenye mafaili.
Kifupi majambazi nao huwa na ring leaders ambao pengine hawako front. Pia wanao marafiki majambazi wenzao. Wote hao hucheza michexo wenzao wakiwa ndani. Sisemi Sana kuhusu michexo Ila unatakiwa uelewe lugha yangu.
I've got a message hiyo connection matataa
 
Maji ya betri ndio kiboko. Anakunywa kisha mnamuacha . Hatotoboa hatua kumi.
Maji ya beteri yanapenyaje mdomoni kufika tumboni?

Navyojua, menyewe hutindua chochote kinachokutana nayo.

Kitendo cha kuyaweka mdomoni hata kabla hajayameza, ulimi na muscle zingine muhimu za kinywa zinakuwa zimeangamia kabla ya kumeza!

Sasa tumboni yatafikaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna mtu anazuia hilo, ila haiwezekani mwenzio ana maumivu unakuja andika upuuuzi huo..

we hata ka unapenda sifia umashuhuri wa bwanako kitandani hebu jaribu siku kamsifie kwa babako mzazi au kiongozi wako wa dini...

kila jambo na wakati wake
Umeolewa Mara ngapi? Nataka kusifu miuno yako.
 
Na unathubutu kueleza ujinga kama huu hapa? (kama siyo chai). Unakuta wezi wanaiba kwa mtu unayemfahamu, tena wanasombea walivyoiba kwenye mkokoteni, wewe unaona solution ni kwenda kumjulisha mwenyewe kwanza. Huna tofauti na yule jamaa aliyejitetea alijiriwa kulinda mlango wa mbele tu ndiyo maana wezi walipokuja kuvunja mlango wa nyuma hakufanya chochote.
Usiwe unaquote kitu au kujibu kama hujaelewa we mbususu mamalia kima we
 
Kwahiyo tuseme mods wanaupendeleo sio? Ilitakiwa ule ban.
.
giphy.gif
 
Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246

View attachment 1999715View attachment 2000213
Pole sana mkuu.Usijaribu kwenda kwa waganga, utaliwa hela mpaka . Polisi wanaweza wakaipata ila duh, full rushwa na wanawajua vizuri wezi ila ndo hivo.
Kuwa tayari kama utaikosa kuruhusu maisha yako yaendelee kwani kila jambo katika maisha ni somo kwetu.
Polisi wa bongo hakuna kitu, show off nyingi, waulize vyombo vya moto wanavyokamata kwanini hawaweki katika mtandao ikiwezekana namba zake halisi baada ya kufuatilia.Kwani kama ni wizi wa magari, pikipiki au bajaji vinaibiwa mikoa tofauti na vinapokamatiwa lakini utakuta wanaonyesha katika habari picha tu.
Viongozi wa juu wa jeshi la polisi jiongezeni ili waliopo chini wafanye kazi kwa moyo, full mastress walio chini.
 
We jamaa utakua mwizi. Kwanini umewahi asiende kwa waganga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom