pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 221
- 431
Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha za ubavun na mbele ili mtu awe na taswira ya gari Mana ku watu hawajui Pajero ikoje Wala land cruiser ipoje.Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246
Mkuu hebu tulia basi umtie moyo mwenzio,kwani kwa haraka haraka anayeiba ni nani?
jambazi ni cheo....hata wewe ukiiba tunakupa nyota vilevile
jambazi ni cheo....hata wewe ukiiba tunakupa nyota vilevile
Eti Kuna watu hawajui pajero au land cruiser ilivyoWeka picha za ubavun na mbele ili mtu awe na taswira ya gari Mana ku watu hawajui Pajero ikoje Wala land cruiser ipoje.
Hii itasaidia kuwafanya watu waweze kukusaidia pindi wakiina gari linalofanana na picha utakayowawekea.
Pole sana kwa kupoteza million zako kumi naa
Tufanye ndg zako wewe ndio wamelichukua.
Kwake yeye ni gari,JF kila mtu ni tajiri
Hilo punger nimeshali block kitambo.una ujinga mwingi Sana Magufuli anaingiaje hapa Wewe kichaa?
Kichwa chako kimekajaa funza badala ya akili Kila kitu unaleta siasa zako uchwara hapa
Shwain!
Anyway jamani msaada atakayeiona hiyo gari atoe taarifa Kwa namba tajwa hapo!
Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246
walikuwa na silaha za moto wameiba vitu vingi sanaNi gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246