Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

ERoni

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
30,777
2,000
Hongera Sana Mkuu. Kumbe gari ulifanikiwa kulipata? Nami niliibiwa gari April 2006 ( tarehe sikumbuki vizuri). Kama mtakumbuka ule wizi wa pesa ya NMB Bank Ubungo mataa. Basi majambazi Yale yakakimbia na sanduku la pesa. Walipofika eneo fulani pancha ikawapata kutokana na jeraha la risasi kwenye tairi. Wakamsimamisha dereva wangu ( Mimi sikuwepo garini) wakachukua funguo huku wamemuwekea mtutu ( hapa kuna information sutaiweka) na kuingiza sanduku lao ndani. Wakatokomea . Dereva alinijulisha nikatoa taarifa polisi ndiyo wakanijulisha huo wizi. Hiyo gari nilikuwa nimeinunua Dec 2005 na ikafika DSM Feb 2006. Imagine chini ya miezi miwili ikaibiwa.
Mungu si Athman gari ilipatikana siku Ile Ile eneo fulani. Majambazi walilitelekeza wakafunga Milango yote wakaondoka. Nikapigiwa simu nikaenda nikakukuta na nilienda na spare key. Sasa Kule ndani walisahau huko Radio call na kulikuwa na kanga ya wife walifutia damu za majeruhi wao. Yaani walikamatwa kama bata. Kesi sijui hata iliishia wapi maana dereva wangu ndiyo alikuwa anahudhuria siku akiitwa. Ila niliona something very fishy na ushahidi wake. Alikuwa na evidence nyingi na maelezo yaliyonyooka Ila ngoja niishie hapa. This is Tanzania.
Kwa hiyo ulikuwa na wasiwasi dereva wako alikuwa na uhusika?
 
Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
2,694
2,000
Mkuu mchoma dirisha hausiki....ninacho kiona tangu machinga kufurushwa na bobaboda na bajaji....haya matukio ndio yame gain momentum.
Hayo matukio hayahusiani na machinga...watu walishaibiwa tangu ata machinga hawajafurushwa
 
Tough lady

Senior Member
Jul 24, 2013
116
250
Pole sana kwa kuibiwa. Najaribu kuimagine hali uliyonayo nashindwa kupata jibu😭🙁. Binafsi huwa naogopa kuibiwa gari mpaka imenifanya mara kibao naota gari inaibiwa au vifaa vinaibiwa. Kila gari ninayomiliki hizo ndoto huwa zinanifata😀🙁 kwa sababu ni kitu ambacho nakiogopa sana. Naamini Mungu atakusaidia na utalipata gari lako, na hata usipolipata atakupa njia za kupata lingine na kukufuta machozi.
Nimesikitishwa sana na comment nyingi za watu amabo either hawana uelewa na maisha au umasikini umewafanya waanze kufurahia shida za wenzao(maana mtu akiwa masikini anajisikia vibaya sana kuona wenzie wanacho, ndio maana wengine hapa wanambeza na kutoa maneno mengi ya kejeli). Kwa mtu anayemiliki gari anaelewa kabisa kuwa kuna mambo yanatokea bahati mbaya. Kupiga picha ya gari ni muhimu na tujitunze katika matukio kama haya. Lakini pia sio kila mwenye gari ana utamaduni wa kupiga picha gari zake na kuringishia au kuziangaliangalia..hiyo ni tabia binafsi na hasa kwa wale wapenda kujidai kwenye mitandao na pia kuna watu hawana sana interest na picha.
Kitu ambacho nimejifunza muda mrefu hapa JF ni kwamba pamejaa vijana wengi ambao in reality hawajui maisha ni nini, anayecheka hiyo pajero inawezekana anaishi kwa shemeji, baba au gheto na masela ila kwa kutojua maisha anakaa anawacheka hata wenye pikipiki ambayo yeye hana na kuna uwezekano hatokuja hata kumiliki baiskeli hadi mauti inamkuta. Wengine ni matapeli hata kama ana pesa hajui inatafutwaje ndo maana anabeza pajero ya mtu ..ukiwa tapeli unajikuta tu una pesa hujui zinatafutwaje..wengine wadangaji (kuna wadangaji wa kike na kiume siku hizi😀) hawa wote hawajui pesa inatafutwaje wao ni kupiga mizinga tu. Wengine ndo watoto wa mama wapo tu home wanafungua hotpot wanakula.. mshua analeta chakula hawajui kinatoka wapi na sometime mshua mwenyewe tapeli so tabia inaanzia ndani kwao. Ukiyajua maisha huwezi kubeza mtu yeyote kwa juhudi alofikia maishani. Tujifunze kwa matajiri kina Bakhresa, Mo etc etc. Huwaoni wakitubeza sisi wa chini kwa sababu wanajua nini maana ya pesa na inatafutwaje hata kama amerithi biashara ya familia lakini anakuwa tayari amefundishwa kutafuta pesa pia. Na pia HUJAFA HUJAUMBIKA.Unayebeza watu leo unaweza kufa ukiwa hoehae hata kama unacho leo.
 
makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,743
2,000
kwa dunia ya sasa, ni ujinga na ufala kumiliki smartphone(simu janja) halafu huitumii kupiga picha.

ila sikushangai maana unamiliki tecno KA7.
Wewe ni punguani aisee... Hili li tecno lipo tu ndani, simu yangu janja imekufa kioo, siwezi kukosa raha za jf na mambo mengine duniani eti kisa tecno, mimi sio majununi ningetaka ningeficha hii identity ya kuonesha nimetumia kifaa gani.

Turudi kwenye swala la msingi kujipiga picha ni hulka ya mtu, yaani hata niwe na simu gani bado mimi si mpenzi wa kupiga picha,si mpenzi wa kupost post katika mitandao ya kijamii, mara ya mwisho kupost ni 2019 huko.

Mimi gari yangu tu sina picha yake.Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
25,545
2,000
Pole sana kwa kuibiwa. Najaribu kuimagine hali uliyonayo nashindwa kupata jibu. Binafsi huwa naogopa kuibiwa gari mpaka imenifanya mara kibao naota gari inaibiwa au vifaa vinaibiwa. Kila gari ninayomiliki hizo ndoto huwa zinanifata kwa sababu ni kitu ambacho nakiogopa sana. Naamini Mungu atakusaidia na utalipata gari lako, na hata usipolipata atakupa njia za kupata lingine na kukufuta machozi.
Nimesikitishwa sana na comment nyingi za watu amabo either hawana uelewa na maisha au umasikini umewafanya waanze kufurahia shida za wenzao(maana mtu akiwa masikini anajisikia vibaya sana kuona wenzie wanacho, ndio maana wengine hapa wanambeza na kutoa maneno mengi ya kejeli). Kwa mtu anayemiliki gari anaelewa kabisa kuwa kuna mambo yanatokea bahati mbaya. Kupiga picha ya gari ni muhimu na tujitunze katika matukio kama haya. Lakini pia sio kila mwenye gari ana utamaduni wa kupiga picha gari zake na kuringishia au kuziangaliangalia..hiyo ni tabia binafsi na hasa kwa wale wapenda kujidai kwenye mitandao na pia kuna watu hawana sana interest na picha.
Kitu ambacho nimejifunza muda mrefu hapa JF ni kwamba pamejaa vijana wengi ambao in reality hawajui maisha ni nini, anayecheka hiyo pajero inawezekana anaishi kwa shemeji, baba au gheto na masela ila kwa kutojua maisha anakaa anawacheka hata wenye pikipiki ambayo yeye hana na kuna uwezekano hatokuja hata kumiliki baiskeli hadi mauti inamkuta. Wengine ni matapeli hata kama ana pesa hajui inatafutwaje ndo maana anabeza pajero ya mtu ..ukiwa tapeli unajikuta tu una pesa hujui zinatafutwaje..wengine wadangaji (kuna wadangaji wa kike na kiume siku hizi) hawa wote hawajui pesa inatafutwaje wao ni kupiga mizinga tu. Wengine ndo watoto wa mama wapo tu home wanafungua hotpot wanakula.. mshua analeta chakula hawajui kinatoka wapi na sometime mshua mwenyewe tapeli so tabia inaanzia ndani kwao. Ukiyajua maisha huwezi kubeza mtu yeyote kwa juhudi alofikia maishani. Tujifunze kwa matajiri kina Bakhresa, Mo etc etc. Huwaoni wakitubeza sisi wa chini kwa sababu wanajua nini maana ya pesa na inatafutwaje hata kama amerithi biashara ya familia lakini anakuwa tayari amefundishwa kutafuta pesa pia. Na pia HUJAFA HUJAUMBIKA.Unayebeza watu leo unaweza kufa ukiwa hoehae hata kama unacho leo.
Asante maa
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,664
2,000
Pole sana kwa kuibiwa. Najaribu kuimagine hali uliyonayo nashindwa kupata jibu😭🙁. Binafsi huwa naogopa kuibiwa gari mpaka imenifanya mara kibao naota gari inaibiwa au vifaa vinaibiwa. Kila gari ninayomiliki hizo ndoto huwa zinanifata😀🙁 kwa sababu ni kitu ambacho nakiogopa sana. Naamini Mungu atakusaidia na utalipata gari lako, na hata usipolipata atakupa njia za kupata lingine na kukufuta machozi.
Nimesikitishwa sana na comment nyingi za watu amabo either hawana uelewa na maisha au umasikini umewafanya waanze kufurahia shida za wenzao(maana mtu akiwa masikini anajisikia vibaya sana kuona wenzie wanacho, ndio maana wengine hapa wanambeza na kutoa maneno mengi ya kejeli). Kwa mtu anayemiliki gari anaelewa kabisa kuwa kuna mambo yanatokea bahati mbaya. Kupiga picha ya gari ni muhimu na tujitunze katika matukio kama haya. Lakini pia sio kila mwenye gari ana utamaduni wa kupiga picha gari zake na kuringishia au kuziangaliangalia..hiyo ni tabia binafsi na hasa kwa wale wapenda kujidai kwenye mitandao na pia kuna watu hawana sana interest na picha.
Kitu ambacho nimejifunza muda mrefu hapa JF ni kwamba pamejaa vijana wengi ambao in reality hawajui maisha ni nini, anayecheka hiyo pajero inawezekana anaishi kwa shemeji, baba au gheto na masela ila kwa kutojua maisha anakaa anawacheka hata wenye pikipiki ambayo yeye hana na kuna uwezekano hatokuja hata kumiliki baiskeli hadi mauti inamkuta. Wengine ni matapeli hata kama ana pesa hajui inatafutwaje ndo maana anabeza pajero ya mtu ..ukiwa tapeli unajikuta tu una pesa hujui zinatafutwaje..wengine wadangaji (kuna wadangaji wa kike na kiume siku hizi😀) hawa wote hawajui pesa inatafutwaje wao ni kupiga mizinga tu. Wengine ndo watoto wa mama wapo tu home wanafungua hotpot wanakula.. mshua analeta chakula hawajui kinatoka wapi na sometime mshua mwenyewe tapeli so tabia inaanzia ndani kwao. Ukiyajua maisha huwezi kubeza mtu yeyote kwa juhudi alofikia maishani. Tujifunze kwa matajiri kina Bakhresa, Mo etc etc. Huwaoni wakitubeza sisi wa chini kwa sababu wanajua nini maana ya pesa na inatafutwaje hata kama amerithi biashara ya familia lakini anakuwa tayari amefundishwa kutafuta pesa pia. Na pia HUJAFA HUJAUMBIKA.Unayebeza watu leo unaweza kufa ukiwa hoehae hata kama unacho leo.
Murua kabisa hii mkuu. Umesema ukweli. Hustlers wa ukweli shughuli Halalu anajua maana ya kupambana kupata alicho nacho.
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,664
2,000
Kwa hiyo ulikuwa na wasiwasi dereva wako alikuwa na uhusika?
Hapana dereva sikuwa na hofu naye kabisa. Ule wizi ulikuwa hivi wakifika mahali wanaamuru dereva yeyote wanayemkuta njiani atoe gari wabadili na kuweka mzigo na kutelekeza waliyo nayo hapo. Hivyo magari kadhaa ya raia yalimika na mengine yalipigwa risasi maana walikuwa wanafukuziwa kwa magari ya police mpaka Helicopter. Bahati nzuri gari yangu ndiyo ilitumika kufikisha mzigo huko wajuao wao na haikupigwa risasi yeyote. Nilichosema ni kwamba ushahidi wa dereva wangu ulikuwa wa maana Sana maana aliwatambua karibu wote siku ya parade mpaka aliyemwekea mtutu wa Bunduki. Na maelezo aliandika kituo cha polisi fulani yaliyonyooka mno. Nisiseme Sana kuhusu Yale maelezo kilichofanyika huko kwenye mafaili.
Kifupi majambazi nao huwa na ring leaders ambao pengine hawako front. Pia wanao marafiki majambazi wenzao. Wote hao hucheza michexo wenzao wakiwa ndani. Sisemi Sana kuhusu michexo Ila unatakiwa uelewe lugha yangu.
 
Elly official

JF-Expert Member
Sep 16, 2018
540
1,000
Kwa Hali ya Sasa hivi, ni vizuri tununue magari ya bei nafuu. Beetle, Toyota Starlet, Toyota Corolla, nk. Hata spea zake ni bei nafuu.
Umesahau passo mkuu. Mm ndo gari yangu, nimeitumia sana nliyo nayo ni ya 3 kumiliki na karibu inafika km za kuisukuma
 
Bmauzo

Member
May 2, 2021
62
125
Hapana dereva sikuwa na hofu naye kabisa. Ule wizi ulikuwa hivi wakifika mahali wanaamuru dereva yeyote wanayemkuta njiani atoe gari wabadili na kuweka mzigo na kutelekeza waliyo nayo hapo. Hivyo magari kadhaa ya raia yalimika na mengine yalipigwa risasi maana walikuwa wanafukuziwa kwa magari ya police mpaka Helicopter. Bahati nzuri gari yangu ndiyo ilitumika kufikisha mzigo huko wajuao wao na haikupigwa risasi yeyote. Nilichosema ni kwamba ushahidi wa dereva wangu ulikuwa wa maana Sana maana aliwatambua karibu wote siku ya parade mpaka aliyemwekea mtutu wa Bunduki. Na maelezo aliandika kituo cha polisi fulani yaliyonyooka mno. Nisiseme Sana kuhusu Yale maelezo kilichofanyika huko kwenye mafaili.
Kifupi majambazi nao huwa na ring leaders ambao pengine hawako front. Pia wanao marafiki majambazi wenzao. Wote hao hucheza michexo wenzao wakiwa ndani. Sisemi Sana kuhusu michexo Ila unatakiwa uelewe lugha yangu.
I've got a message hiyo connection matataa
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
7,401
2,000
Maji ya betri ndio kiboko. Anakunywa kisha mnamuacha . Hatotoboa hatua kumi.
Maji ya beteri yanapenyaje mdomoni kufika tumboni?

Navyojua, menyewe hutindua chochote kinachokutana nayo.

Kitendo cha kuyaweka mdomoni hata kabla hajayameza, ulimi na muscle zingine muhimu za kinywa zinakuwa zimeangamia kabla ya kumeza!

Sasa tumboni yatafikaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mambio

JF-Expert Member
Mar 4, 2017
1,523
2,000
hakuna mtu anazuia hilo, ila haiwezekani mwenzio ana maumivu unakuja andika upuuuzi huo..

we hata ka unapenda sifia umashuhuri wa bwanako kitandani hebu jaribu siku kamsifie kwa babako mzazi au kiongozi wako wa dini...

kila jambo na wakati wake
Umeolewa Mara ngapi? Nataka kusifu miuno yako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom