Nimehuzunika sana, siamini kama leo hii na shahada yangu nimekuwa mtu wa kuandalia watu chai mezani

Wewe jamaa unapojifanya kutoa Hoja ujue na jinsi ya kuitetea sio unaulivya maswali unaanza blablaaa sasa ndio unaandika nini.

Jamaa kakuuliza swali Timamu unarukaruka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu hata mada inayoweza kukufanya ujiajiri huielewi,unang'ang'ania ajira ya serikali/ mashirika/watu binafsi,hiyo ajira ukipewa utaiweza kweli?I think I can't help you.Wewe una reflect the truth about the following report:

 
Duh,tuna kazi.Mtaji unatafutwa mkuu,you don't start big,you grow and gather experience.Haya subiri ajira.Huyo Bill Gate unayemzungumzia si ame-struggle.And then be very careful kudhani kwamba kila unachokiano is real,there is more to it than you think.I would say 99% of what you see is fake.Chunga sana.

Finally ulivyojieleza na mawazo yako explains who you are.Let me tell you,vijana mlio wengi hamna elimu useful kwenye ajira,jiajirini ajira sio lazima.
Hivi unafikir kwa nini vijana hawajiajiri pamoja na kusisitizwa na kila mtu?

Yaan unafundishwa nadharia tupu ambazo hazipo hata karibu na uhalisia katika Maisha halafu mtu atoke aweze kujiajir?

Angalia wenzetu wanafunzi wa vyuo vikuu wanafanya project za undergraduate tu za maana.

Hapa kwetu mtu anahitimu degree ya IT anaanza kulala chini Kama Gambo ambavyo huwa anajielezea Maisha yake.
 
Kwani ulitaka kuila hiyo shahada? Kama unaona hustahili kufanya hiyo kazi, basi acha na huiamuru hiyo shahada yako ukuletee mahitaji yako.
Lakini tusisahau Kuna level ya elimu ukifika unahitaji kufanya kazi zenye staha.

Hivi mkuu Ina maana gani umsomeshe mtoto wako mpaka ahitimu degree halafu arudi mtaani aanze kuuza karanga!! Tena bila hata kuwa na ujuzi wa angalau kuziongeza dhamani!!

Huoni Kuna tatizo mahali Wala shida si Hawa vijana wetu?
 
Mkuu asante kwa dondoo zako nimezisoma na nimezipenda ila bado hujajibu hoja yangu hapo juu ya ni jinsi gani kijana graduate aliyemaliza chuo kikuu asiye na mtaji wowote atapata vipi mtaji ili aweze kujiajiri pasipo yeye kuajiriwa mahali popote ilihali hata pesa tu ya kula inampiga chenga.

mkuu naomba uache izo blah blah za motivational speakers sijui nini nk tuongee vitu vyenye uhalisia na maisha yetu ya bongo


Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana akikubali kuhitimu chuo kikuu bila kufaham Nini atafanya mtaani tayari kashafeli. Maandalizi ya Nini Cha kufanya ni lazima ayafanye ndan ya muda wa shule na hii inachangiwa Sana na ubora wa elimu atakayopata.

Mfano kijana anasoma IT kwenye project yake akatengeneza app ya kusaidia Sacco's au vikundi vidogo vidogo kurahisisha shughuli zao za kila siku za kukopa, na kurejesha madeni.

Wakati anaijaribi akaitoa kwenye Sacco's mojawapo hapo jiran na chuo wakawa wanaitumia.

Huyu kijana akihitimu chuo tayari ana product mkononi anaanza tu kuzunguka na kuitangaza kwa wahitaji.

Unafikir huyu atalala njaa?

Je vyuo vyetu vina uwezo huo wa kuwawezesha vijana kufikiri wakaja na products ambazo ndizo haswa zinaweza kuwafanya wajiajir?

Hao walimu wenyewe Wana Nini Cha maana tangible walichokifanya kinachohusiana na fani zao?

Walimu wa vyuo vikuu wapo wapo tu hamna kitu wanafanya ndo waje kumfundisha mtu atoke ajiajiri?

Mwalimu anafundisha chuo kikuu miaka thelathini hana patent hata moja eti anafundisha chuo kikuu si ulaghai huo!!!

Kwangu Mimi hivi ndivyo msomi wa IT anaweza kujiajir. Sio eti aende aanze kuuza genge la nyanya Noo.
 
Wewe jamaa unapojifanya kutoa Hoja ujue na jinsi ya kuitetea sio unaulivya maswali unaanza blablaaa sasa ndio unaandika nini.

Jamaa kakuuliza swali Timamu unarukaruka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamaa nimemuacha tu pasipo kumjibu baada ya kugundua hana jibu.
Ujue hawa watu wana blah blah mingi wanazunguka weeeee kama mamotivational speakers mwisho wa siku hakuna jibu lenye uhalisia atakalotoa kujiajiri pasipo mtaji kwa graduate asieyeweza ata kula milo mitatu ni mbingu na ardhi vitu vingine tunawatia tu wadogo zetu lawama na watu kama hawa mkuu nakuhakikishia ni waajiriwa au wametokea familia bora unamaliza chuo unapewa mtaji unajiajiri


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako ni kwamba unadhani capital ni pesa tu hapana mkuu.Hata social relationships ambazo zinaweza hatimaye kukupatia fedha ni mtaji.Uwezo wako wa kutengeneza right up nzuri inayouzika ni mtaji,and so much more kama nilivyoeleza.Wewe inaelekea ni mgumu kuelewa.


Naunga mkono hoja hii!na mfano uliwah nitokea mm ! Sikua na hela ila nikasaidika! Suala la capital jaman sio ishu ishu idea ulonayo kwanza na ww kujitoa!😍
 
Wanaongea pumba tu wapuuzi hao . Wengi wao wanaishi kwa mashemeji zao . Hawajawahi jua life likoje
Mnajifariji vijana jiajirini,it is possible.Ndugu zenu wanahitaji msaada weni kwa vile ninyi angalau mmeona mwanga.Mtakuwa watumwa mpaka lini?Wake up.Hivi hamjui kwamba ajira ni utumwa.If we made it by soliciting capital through socialization and preparing good writeups,I believe you alo can.Someni ushuhuda ufuatao.

"Naunga mkono hoja hii!na mfano uliwah nitokea mm ! Sikua na hela ila nikasaidika! Suala la capital jaman sio ishu ishu idea ulonayo kwanza na ww kujitoa!😍"
 
Mkuu kwa faida ya wengi naomba uelekeze namna ambavyo graduate aliyemaliza chuo kikuu asiye na mtaji anaweza pata vipi mtaji ilihali hata pesa ya kula inampiga chenga.
Jamaa kasema mtaji kuupata ni lazima uajiriwe ufanye kazi usave pesa blahblah mpaka upate mtaji then ujiajiri mimi nimemuelewa.
Naomba sasa na wewe utueleze mtaji wa graduate anaupataje pasipo ata kuajiriwa mahali popote ili aweze kujiajiri ilhali hata pesa ya kula inampiga chenga naomba jibu lako liwe relative na uhalisia maisha yetu ya tz hii itasaidia graduates wengi wajiajiri boss natanguliza shukrani


Sent using Jamii Forums mobile app


Mkuu shida yetu ni moja .tunataka mitaji mikubwa au biashara kubwa hatutaki kusumbuka...mawazo yetu yako kwenye relaxtion mode!
Hv mkuu kwa mwez ww huez pata hata 20 au 10k ukaanza ht kukaanga karanga? Jifuze kutengeneza karanga tafuta sehemu weka uza..
Unashindwa nn kufind ht 20/ununue walau hata maji ukauza stend?
Unashindw nn kulangua walau kapu la nyanya ukauza!? Au ht mboga mboga?
Unashindwa nn ht kuuza mishikak ukaanza na kilo moja uknunua mkaa kopo 1? Na kajiko kako ka 6000!??...ukitengeneza mishikak mizuri hakuna atakayeacha kula!
Unashindwa nn kutafuta bloila 2 ukawakaanga😋 ukatupitishia kitaan jioni ?
Au kununua firigisi uzikaange? Firigisi ni 700/800! Maini 500! Ukatengeneza kachachndu kako kazuri mwendokasi za buku unapata kitu kingi?
Hapa Kahama kuna kaka anatembea na begi mgongon...yule kaka nilimpa salute...anapita kila sehem had madukani anakuomba kwa unyenyekevu mkubw! Sista nakuomba nikusfishie kiatu!..anakubembeleza vzr unavua kiatu hata km hakihitaj kiwi akikurudishia had unaona aibu kilivyo👌! Unamwachia 500 tu! Ww graduate unashindwa nn ....kwasiku hakosi 8000-10000! Na anapata bakshishi balaa kwa watu!
Kitaa hapo make urafiki na watoto anza kuvifundisha tuit hata kwa 500@!
Na wakat unafanya haya jaribu kujibana kadri uwezavyo! Mie toka 3rd Jan nimeanza kula mara moja! Nakula saa6 mchana ..usk nanunua fruits 500/ Sio kwmba sin hela kau kbs hapana
...najiona natumia hela sana kwenye kula😋! Kuku nusu 7500..samak wa kawaida 5000/4000! Yan kwa siku unajikuta 15000 imeteketea kijinga tu kisa msos!
Acha tunuke madagaa tu aisee!💃![/QUOTE]
 
Kweli wakuu elimu bila pesa ni useless tu,

Leo hii mimi naandalia watoto wadogo wa certifacete nawaandalia chai mezani mimi? Yaani nkuchu nkunchu eti nawaletea vikombe kabisa eti karibuni chai tayari!

Mimi huyu naandaalia watu chakula mezani mimi huyu?

Nilimaliza shahada ya ualimu nikaingia JKT nako mambo yalienda kinyume. Tuliporudishwa home nikaomba kazi kampuni ya ulinzi Malipo yao upuuzi tu kazi ngumu nikapiga chini.

Sasa hivi nimepata shirika linadili na mambo ya afya kwenye refugees camp. Yaani position niliyowekwa ni kituko

Yaani mimi nawaandalia watu chai mimi? Kabisa nawaletea mezani wanywe wakishiba nikatoe vyombo!

Watu wenyewe madogo tu wa Certificate za Nursing, Pharmacy kweli kabisa jamani ndugu zangu

Dah basi bwana ngoja nikomae

Namchukia sana Rais Magufuli niseme waziwazi tu!

Any way ngoja nipumzikepo kidogo hapa nasubiri waivishe cha mchana nikawaandalie wadogo zangu chakula mezani waje wale.
ULITAKAA UANDALIE MAVI
ALLAH PAMBANA N HALIYAKOO
FICHA AIBU YAKOO MKUI
 
2011~2016 Vijana Wengi Walikimbilia Ualimu Kwa Kigezo Cha Kupata Mikopo Vyuoni..Ona Sasa Walivyo Wengi..Kupata Boom Kumegeuka Kuwa Bomu Kwao.
 
We ni mjinga bado hujaelimika na hicho kitengo ndio kinachokufaa,Nani alikuambia ukisoma hutakiwi kuandalia watu chai,tatizo elimu yako haijakufundisha pesa ni nn,nakushauri Soma kitabu kinaitwa Rich Dad poor Dad ukimaliza utauza hata chai moyo unafunguka ila mtaji uwe wako usiwe umeajiriwa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ningesoma hata mpaka kufika elimu ya sekondari ningekuwa mbali sana leo hii, siyo mpaka ngazi ya shahada, hapana.
Ningefika kidato cha kwanza, cha pili...
Huenda ningekuwa Mars na kina Tesla!

Au usingefanya yanayokupa jeuri mjini
Kusoma ni upuuzi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom