Nimehuzunika sana, siamini kama leo hii na shahada yangu nimekuwa mtu wa kuandalia watu chai mezani

Kama umeelimika vya kutosha na hutaki hiyo kazi, kwa nini usijiajiri mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Guys, tusipende kuwa tunatoa majibu ya wima as if unamjua mtu maisha yake, mtu amekwambia ndio kwanza alikuwa amemaliza masomo yake, sasa unasema ajiajiri, unajua kuanzisha shughuli binafsi kunahitaji pesa ya mtaji, na kama angekuwa nayo unadhani angeenda kufanya hizo kazi ?
 
Kweli wakuu elimu bila pesa ni useless tu,

Leo hii mimi naandalia watoto wadogo wa certifacete nawaandalia chai mezani mimi? Yaani nkuchu nkunchu eti nawaletea vikombe kabisa eti karibuni chai tayari!

Mimi huyu naandaalia watu chakula mezani mimi huyu?

Nilimaliza shahada ya ualimu nikaingia JKT nako mambo yalienda kinyume. Tuliporudishwa home nikaomba kazi kampuni ya ulinzi ya Gardaward. Malipo yao upuuzi tu kazi ngumu nikapiga chini.

Sasa hivi nimepata shirika linadili na mambo ya afya kwenye refugees camp. Yaani position niliyowekwa ni kituko

Yaani mimi nawaandalia watu chai mimi? Kabisa nawaletea mezani wanywe wakishiba nikatoe vyombo!

Watu wenyewe madogo tu wa Certificate za Nursing, Pharmacy kweli kabisa jamani ndugu zangu

Dah basi bwana ngoja nikomae

Namchukia sana Rais Magufuli niseme waziwazi tu!

Any way ngoja nipumzikepo kidogo hapa nasubiri waivishe cha mchana nikawaandalie wadogo zangu chakula mezani waje wale.
Jipe moyo, fanya kazi hiyo kwa bidii na umtumainie Mungu, ipo siku utapata walau pesa kidogo ukaanzishe shughuli yako binafsi
 
Kweli wakuu elimu bila pesa ni useless tu,

Leo hii mimi naandalia watoto wadogo wa certifacete nawaandalia chai mezani mimi? Yaani nkuchu nkunchu eti nawaletea vikombe kabisa eti karibuni chai tayari!

Mimi huyu naandaalia watu chakula mezani mimi huyu?

Nilimaliza shahada ya ualimu nikaingia JKT nako mambo yalienda kinyume. Tuliporudishwa home nikaomba kazi kampuni ya ulinzi ya Gardaward. Malipo yao upuuzi tu kazi ngumu nikapiga chini.

Sasa hivi nimepata shirika linadili na mambo ya afya kwenye refugees camp. Yaani position niliyowekwa ni kituko

Yaani mimi nawaandalia watu chai mimi? Kabisa nawaletea mezani wanywe wakishiba nikatoe vyombo!

Watu wenyewe madogo tu wa Certificate za Nursing, Pharmacy kweli kabisa jamani ndugu zangu

Dah basi bwana ngoja nikomae

Namchukia sana Rais Magufuli niseme waziwazi tu!

Any way ngoja nipumzikepo kidogo hapa nasubiri waivishe cha mchana nikawaandalie wadogo zangu chakula mezani waje wale.
Pacha wangu anafanya kazi hiyo ya kuuza chai na maandazi mwaka wa nne huu toka 2015 amalize chuo. Bora hiyo yako pengine ina malipo makubwa kidogo kuliko yeye maana yeye anapata faida Tsh. 150.000 kwa mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeelimika vya kutosha na hutaki hiyo kazi, kwa nini usijiajiri mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
UNGEKUWA KARIBU NINGEKUVUTA PUA KAMASI ZITOKE LABDA UTAELEWA. MTU KAKUAMBIA AMEFANYA MPAKA KAZICYA ULINZI UNAELEWA WANALIPWA SHIiingapi? HUKO KWA CHAI NI HIVO HIVO HIYO KUJIAJIRI MTAJI ATAUPATAJE? LABDA WEWE U MMOJAWAPO WALIOKUWA NA WAZAZI WENYE NAFASI. Wenye watoto wanaosota nyumbani na digrii zao mpaka phd wanaelewa huzuni hii. Saa nyingine unasema ewe MUNGU NI KWA NINI SIKUELEWA MAPEMA NIKAPOTEZA MAMILIONI YOTE HAYO KUMSOMESHA halafu amerudi kuja kuniomba NAULI, hela ya nguo nk? NINGEMFUNGULIA MRADI NA HIZO HELA. Nahisi itafika kipindi watoto watakataa kusoma wafanye SHUGHULI ZINGINE za kujiendeleza mapema. Nafahamu vijana wana masters na phd wanasota.
 
Una degree moja bro,,povu la Nini? Nenda kasome
Kweli wakuu elimu bila pesa ni useless tu,

Leo hii mimi naandalia watoto wadogo wa certifacete nawaandalia chai mezani mimi? Yaani nkuchu nkunchu eti nawaletea vikombe kabisa eti karibuni chai tayari!

Mimi huyu naandaalia watu chakula mezani mimi huyu?

Nilimaliza shahada ya ualimu nikaingia JKT nako mambo yalienda kinyume. Tuliporudishwa home nikaomba kazi kampuni ya ulinzi ya Gardaward. Malipo yao upuuzi tu kazi ngumu nikapiga chini.

Sasa hivi nimepata shirika linadili na mambo ya afya kwenye refugees camp. Yaani position niliyowekwa ni kituko

Yaani mimi nawaandalia watu chai mimi? Kabisa nawaletea mezani wanywe wakishiba nikatoe vyombo!

Watu wenyewe madogo tu wa Certificate za Nursing, Pharmacy kweli kabisa jamani ndugu zangu

Dah basi bwana ngoja nikomae

Namchukia sana Rais Magufuli niseme waziwazi tu!

Any way ngoja nipumzikepo kidogo hapa nasubiri waivishe cha mchana nikawaandalie wadogo zangu chakula mezani waje wale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wakuu elimu bila pesa ni useless tu,

Leo hii mimi naandalia watoto wadogo wa certifacete nawaandalia chai mezani mimi? Yaani nkuchu nkunchu eti nawaletea vikombe kabisa eti karibuni chai tayari!

Mimi huyu naandaalia watu chakula mezani mimi huyu?

Nilimaliza shahada ya ualimu nikaingia JKT nako mambo yalienda kinyume. Tuliporudishwa home nikaomba kazi kampuni ya ulinzi ya Gardaward. Malipo yao upuuzi tu kazi ngumu nikapiga chini.

Sasa hivi nimepata shirika linadili na mambo ya afya kwenye refugees camp. Yaani position niliyowekwa ni kituko

Yaani mimi nawaandalia watu chai mimi? Kabisa nawaletea mezani wanywe wakishiba nikatoe vyombo!

Watu wenyewe madogo tu wa Certificate za Nursing, Pharmacy kweli kabisa jamani ndugu zangu

Dah basi bwana ngoja nikomae

Namchukia sana Rais Magufuli niseme waziwazi tu!

Any way ngoja nipumzikepo kidogo hapa nasubiri waivishe cha mchana nikawaandalie wadogo zangu chakula mezani waje wale.
Inaonekana hujaelewa elimu ni nini.

Unachanganya elimu na vyeti.

Kwa mfano.

Mtu mwenye elimu hata hiyo kazi yako anaweza kuifanya na kutumia hiyo kama nafasi ya kuchunguza kazi za mashirika ya kuhudumia wakimbizi zinqvyienda, vijana wadogo wa certificate wanavyofanya kazi, akatuandikia kitabu kizuri kinachofunua mengi, akatuelimisha, na yeye akapata kipato.

Mtu mwenye elimu anajua kuitumia elimu yake kukabikiana na mazingira yake.

Mtu mwenye vyeti bila elimu anayalalamikia mazingira yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida sio kuwaandalia chai hao madgo je unalipwa kiasi gani? Naiman ni zaidi na ule wa ualim ambao magu angekulipa
Kweli wakuu elimu bila pesa ni useless tu,

Leo hii mimi naandalia watoto wadogo wa certifacete nawaandalia chai mezani mimi? Yaani nkuchu nkunchu eti nawaletea vikombe kabisa eti karibuni chai tayari!

Mimi huyu naandaalia watu chakula mezani mimi huyu?

Nilimaliza shahada ya ualimu nikaingia JKT nako mambo yalienda kinyume. Tuliporudishwa home nikaomba kazi kampuni ya ulinzi ya Gardaward. Malipo yao upuuzi tu kazi ngumu nikapiga chini.

Sasa hivi nimepata shirika linadili na mambo ya afya kwenye refugees camp. Yaani position niliyowekwa ni kituko

Yaani mimi nawaandalia watu chai mimi? Kabisa nawaletea mezani wanywe wakishiba nikatoe vyombo!

Watu wenyewe madogo tu wa Certificate za Nursing, Pharmacy kweli kabisa jamani ndugu zangu

Dah basi bwana ngoja nikomae

Namchukia sana Rais Magufuli niseme waziwazi tu!

Any way ngoja nipumzikepo kidogo hapa nasubiri waivishe cha mchana nikawaandalie wadogo zangu chakula mezani waje wale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hako kadegree kamoja unatoka povu hivyo.

Mzee wangu mkubwa ni Profesa ila kakosa kazi kwa sasa ni dalali wa nyumba.
Marehemu Ali Mufuruki alitupa rai, akasema kwa wale wanaojiona wasomi, wasione shida kufanya kazi wanayofikiri iko chini ya usomi wao na uwezo wao, ilimradi iwe halali na inaleta kipato, na waitumie hiyo kazi kujiinua mpaka wapate uwezo wa kufanya wanachotaka.

Waingereza walisema, half a bread is better than nothing.

Akilalamikia kazi ya kutengea watu chai, akumbuke hajalazimishwa, anaweza kuacha akae bench bila kazi kabisa, halafu alinganishe hali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom