Nimehonga simu kwa bebe, kuanzia kesho sitakuwa hewani kwa muda!

Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
2,325
5,793
Kama mnavyojua kuwa ni muhimu kuwajali wa nyumbani kwako.

Simu ya bebe imevunjika.. Baada ya kunililia shida mdau nimeona nijiongeze kwa kumpa hii ya kwangu.

Kwa kuwa sikuwa na bajeti ya kununua simu hivi karibuni, basi wadau sitokuwapo hewani kwa muda.
 
Safi sana.
 
Ile nyama iliyovundikwa kwenye papuchi uliyokula imeanza kufanya kazi..

Natania.
 
Back
Top Bottom