Nimehitimu shahada ya masomo ya Geography na History(DUCE). Natafuta nafasi ya kazi shule binafsi

chrlsstphn

Member
Nov 18, 2017
6
2
Habari ya jumapili wapendwa katika bwana...!

Nimehitimu shahada ya masomo ya Geography na History (DUCE) mwaka huu. Natafuta nafasi ya kazi shule yoyote binafsi/private, Tuition centers au hata makampuni binafsi.

Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote ule Tanzania, ila kama kazi itapatikana mkoa wa Mwanza basi itapendeza zaidi.

Natanguliza shukrani zangu za dhati, nikitumaini kutapata msaada kutoka kwenu wanajamii....Ahsante sana
 
Back
Top Bottom