Nimehitimu kidato cha nne mwaka jana, nitapataje cheti?

Shalii

New Member
Sep 30, 2017
2
0
Nimechaguliwa kujiunga na Chuo cha COTC Mtwara ila wanahitaji cheti cha kidato cha nne na mimi nimehtmu mwaka jana tu. Naomba mwenye kufahamu vyet huwa vinatoka baada ya muda gan unapohitimu?,Shule niliyosoma ipo mbali naogopa kuchoma nauli labda havijatoka
NATANGULIZA SHUKRANI
 
Back
Top Bottom