Nimeharibu sana ndugu wadau, najuta. Nimekosea sana

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,347
11,447
Leo nlikuwa na miadi na galfriend wangu mpya kuja home.nlimwambia ntamwandalia msosi mwenyewe.

Kaja mapema mtoto wa watu, tumeanza na stories na maandalizi ya chakula.nmekata kachumbali.huwa napenda pilipili.nmekata kata na pilipili but before pia nlikata vitunguu na tangawizi.

Tumekula tumeshiba tukawa tunacheck movie ya mapenzi.nasi tukaanza kuwekana sawa.nlijisahau maskini sikuwa nmenawa vizuri.nikaingiza kidole kuchovya ndani yake ili kuchezea pale nje kwenye clitoris.

Ghafla tu akanisukuma mkono na kuuliza nilinawa vizuri baada ya kukata pilipili.maskini binti wa watu amewashwa ametoa nguo kumekuwa kwekundu na kuvimba. Analia tu. Nashindwa nifanye nini mpaka muda huu. Sina amani. Maana nmempeleka kwao lakini hayupo ok kabisa.anawashwa na pilipili ile mbaya.

Wadau hapo atumie nini kuondoa maumivu hayo.sijui next time kama atakubali tena maskini.
 
Back
Top Bottom