Nimehamishiwa kikazi Mwanza nyumbani, natafuta mke tuunde familia

Nakwambia mkuu fakalava yaani mwezi huu wa Desemba, 2018 thread za watu kutafuta wachumba Mwanza zimetamalaki hapa JF, mie tu nishindwe kujilengesha. hahahahaha
Nakwambia mkuu fakalava yaani mwezi huu wa Desemba, 2018 thread za watu kutafuta wachumba Mwanza zimetamalaki hapa JF, mie tu nishindwe kujilengesha. hahahahaha
December naenda Ukerewe nitakupitia.
 
Kama unataka mwanamke Wa age ya 28 to 37
Maaana yake wewe una age ya 39 mpaka 50
Ulikuwa wapi mkuu au mkewako aliondoka na MV nyerere???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom