Nimehamia Tabata, tafadhali nipatieni fundi mzuri wa magari

eti inapiga kelele kama ngoma za mdundiko.

ila jamaa ana kipaji fulani hivi comedian, pamoja na kumpuuza lakini nikianza kusoma nyuzi zake sichoki na lazima nimalize.

#eti gari haihitaji honi maana mita 200 inasikika.
WAKUU,

ACHENI KUMKEBEHI HUYU "BILIONEA",

MPENI MWONGOZO WA FUNDI WA KUMREKEBISHIA MIGUU YA MBELE YA TOYOTA_GX100 YAKE INAGONGAGONGA NA KUPIGA KELELE!!!
 
eti inapiga kelele kama ngoma za mdundiko.

ila jamaa ana kipaji fulani hivi comedian, pamoja na kumpuuza lakini nikianza kusoma nyuzi zake sichoki na lazima nimalize.

#eti gari haihitaji honi maana mita 200 inasikika.
Haaaaa haaaaa Nimecheka
 
Njoo hapa kituo cha chama kama unaenda mawenzi ulizia omary hutajuta au nicheki pm
 
Hahahaaaaa Mkuuuu umeniwahi maaaana mimi pia ndio Garage yangu happo kwa Peter ni uhakika ingawa vijana wake baadhi wamejitenga na kufungua vijiwe vyao.

All in all thats the best place kwa gari za Toyota. Ila tumshauri Peter awarudishe kundini Oscar na Mgabho ili kazi ionekane.
huna akili wewe kwa Nini awarudushe Oscar na mugabo kwa nini wewe usiwafuate
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom