Nimehamia Tabata Tafadhali nipatieni Fundi mzuri wa Gari

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Messages
2,908
Points
2,000

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2013
2,908 2,000
Nimesogea mitaa ya Bata, Tabata. Wadau gari yangu ni Toyota mbele chini inagonga. Nilikuwa naishi mitaa flani barabara mbaya sana inagonga kama watu wanapiga ngoma ya mdundiko.

Natafuta fundi mzuri wa kuondoa kelele zooooote za chini kwa bei nzuri.maana fundi wangu yupo kimara ni mbali na Tabata. Gari imekuwa haihitaji honi maana toka umbali wa mita 200 tu unaisikia ikipiga vingoma chini.

Tafadhali kama unamfahamu fundi mzuri wa kuondoa milio yote ya mbele chini mwenye bei nzuri tuwasiliane.Kawaida ya Watanzania uzi huu ndiyo watachangia na kufurahi sana kuwa maskini tupo wengi. But nikianza waelezea zile gari zangu za Ukweli. Tayari itakuwa Nongwa. Yaani Watanzania wanapenda Sifa za Kimaskini kama hizi.
WAKUU,

ACHENI KUMKEBEHI HUYU "BILIONEA",

MPENI MWONGOZO WA FUNDI WA KUMREKEBISHIA MIGUU YA MBELE YA TOYOTA_GX100 YAKE INAGONGAGONGA NA KUPIGA KELELE!!!
 

Forum statistics

Threads 1,355,152
Members 518,611
Posts 33,101,921
Top