Nimehamia Tabata Tafadhali nipatieni Fundi mzuri wa Gari

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
913
Points
1,000

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
913 1,000
Nimesogea mitaa ya Bata, Tabata. Wadau gari yangu ni Toyota mbele chini inagonga. Nilikuwa naishi mitaa flani barabara mbaya sana inagonga kama watu wanapiga ngoma ya mdundiko.

Natafuta fundi mzuri wa kuondoa kelele zooooote za chini kwa bei nzuri.maana fundi wangu yupo kimara ni mbali na Tabata. Gari imekuwa haihitaji honi maana toka umbali wa mita 200 tu unaisikia ikipiga vingoma chini.

Tafadhali kama unamfahamu fundi mzuri wa kuondoa milio yote ya mbele chini mwenye bei nzuri tuwasiliane.
😁😁😁😁😁😁

Kawaida ya Watanzania uzi huu ndiyo watachangia na kufurahi sana kuwa maskini tupo wengi. But nikianza waelezea zile gari zangu za Ukweli. Tayari itakuwa Nongwa. Yaani Watanzania wanapenda Sifa za Kimaskini kama hizi.
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
4,376
Points
2,000

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
4,376 2,000
Nimesogea mitaa ya Bata, Tabata. Wadau gari yangu ni Toyota mbele chini inagonga.nlikuwa naishi mitaa flani barabara mbaya sana.

Natafuta fundi mzuri wa kuondoa kelele zooooote za chini kwa bei nzuri.maana fundi wangu yupo kimara ni mbali na Tabata.

Tafadhali kama unamfahamu fundi mzuri wa kuondoa milio yote ya mbele chini mwenye bei nzuri tuwasiliane
Ujinga, fundi wa gari kimara na tabata pana tofauti gani? Hiyo gari watengeneza kila siku
 
mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
2,457
Points
2,000

mmteule

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
2,457 2,000
Ni Toyota model gani mkuu? Kuna dogo yupo tabata chama kuelekea Mawenzi, kuna garage inaitwa "Peter Gearbox", yupo vizuri kwa gari za Toyota.
Hahahaaaaa Mkuuuu umeniwahi maaaana mimi pia ndio Garage yangu happo kwa Peter ni uhakika ingawa vijana wake baadhi wamejitenga na kufungua vijiwe vyao. All in all thats the best place kwa gari za Toyota. Ila tumshauri Peter awarudishe kundini Oscar na Mgabho ili kazi ionekane.
 
Eli79

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
23,742
Points
2,000

Eli79

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
23,742 2,000
Hahahaaaaa Mkuuuu umeniwahi maaaana mimi pia ndio Garage yangu happo kwa Peter ni uhakika ingawa vijana wake baadhi wamejitenga na kufungua vijiwe vyao. All in all thats the best place kwa gari za Toyota. Ila tumshauri Peter awarudishe kundini Oscar na Mgabho ili kazi ionekane.
Hahaha, mkuu pale ndio kila kitu. Kuna dogo ni rafiki yangu sana anaitwa Ali, fundi mzuri sana...
 
cocochanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
24,335
Points
2,000

cocochanel

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
24,335 2,000
Nimesogea mitaa ya Bata, Tabata. Wadau gari yangu ni Toyota mbele chini inagonga.nlikuwa naishi mitaa flani barabara mbaya sana.

Natafuta fundi mzuri wa kuondoa kelele zooooote za chini kwa bei nzuri.maana fundi wangu yupo kimara ni mbali na Tabata.

Tafadhali kama unamfahamu fundi mzuri wa kuondoa milio yote ya mbele chini mwenye bei nzuri tuwasiliane
Kweli barabara mbaya ni majanga kwa magari..
 
Forum statistics

Threads 1,352,657
Members 518,177
Posts 33,065,499
Top