Nimehamia Airtel...

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,285
za jioni bhandugu? ni muda mrefu nimekuwa mteja wa huu mtandao wa tiGO, tangu enzi zile ukiwa unaitwa Mobitel na namba zao za 0811****** na tukijaza vocha kwa kutumia kadi poa zenye rangi ya njano tena kwa dola, ambayo ilikuja kubadilishwa na kuwa Buzz na kufuatiwa na namba yenye mwanzo 0741****** hata majuzi, 2005 nadhani ilipokuwa hili jina ambalo limepewa maana mpya ya tundu la kinyesi na namba zetu kubadilika na kuwa 0713******. sasa kwa vile mtandao si kabila hata lisibadilishike, mwenzenu nimechoka na maudhi, uongo na wizi wa hili kampuni, nimehama, nimehamia Airtel. wote mnaonitafuta nimewatumia namba zangu mpya kwenye simu zenu za rununu. ahsanteni.
 
karibu sana mkuu, kwenye basi zuri la ukweli - marcopolo jekundu, hongera kwa kutoka kwenye kile kibito kibovu cha bluu,,,
 
Tehee umefanya upembuz yakinifu? isije ikawa umeruka mkojo? bito la tigo limepata pancha tu, likiamka 2takuta mikese na mbasi wenu mnapima uzito
 
hahaahahaahhahaha mkuu umeniacha hoi,,,, kwa distance tuliokua tumewaacha na basi letu, hata tukisimama mizani mikese hamtotukuta, kwanza kibito mwisho wa speed kwenye dashbord ni 80,, na kile kilivo kibovu, ata 60 kitafika kweli
 
karibu sana mkuu, kwenye basi zuri la ukweli - marcopolo jekundu, hongera kwa kutoka kwenye kile kibito kibovu cha bluu,,,

shukrani kaka, kwanza huku napata ripoti ya mapato na matumizi, kule zilipendwa hakuna hiyo kitu!
 
Tehee umefanya upembuz yakinifu? isije ikawa umeruka mkojo? bito la tigo limepata pancha tu, likiamka 2takuta mikese na mbasi wenu mnapima uzito

kama nilivyosema awali, mtandao sio kabila hata nisihame, kwa kuwa mteja ni tofauti na ushabiki wa soka. kuna pesa yangu inaingia kwao, sasa kama kunakuwa na madhulumu, uongo na vitu kama hivyo kwanini tusihame?
 
hapo nilipokoleza na kuweka karangi kekunduuuuu...um the next one kuhamia airtel..
za jioni bhandugu? ni muda mrefu nimekuwa mteja wa huu mtandao wa tiGO, tangu enzi zile ukiwa unaitwa Mobitel na namba zao za 0811****** na tukijaza vocha kwa kutumia kadi poa zenye rangi ya njano tena kwa dola, ambayo ilikuja kubadilishwa na kuwa Buzz na kufuatiwa na namba yenye mwanzo 0741****** hata majuzi, 2005 nadhani ilipokuwa hili jina ambalo limepewa maana mpya ya tundu la kinyesi na namba zetu kubadilika na kuwa 0713******. sasa kwa vile mtandao si kabila hata lisibadilishike, mwenzenu nimechoka na maudhi, uongo na wizi wa hili kampuni, nimehama, nimehamia Airtel. wote mnaonitafuta nimewatumia namba zangu mpya kwenye simu zenu za rununu. ahsanteni.
 
yani hao tigo wanamaudhi mpaka unaweza vunja simu kama unahasiri za haraka. kweli mtandaoo sio kabila tutahama kila ikibidi maana utadhani huduma unapewa bure jinsi unavowabembeleza kumbe unalipia
 
karibu mno,na wengne 2shahamia huku toka wiki jana bana...airtel mambo poooouwah yan 2500 tu internet mwez mzma kwny mchina wangu
 
ryt dude. na mimi nimeunga hyo kitu kwa samsung duos yangu, sasa hivi nimetoka kushusha wimbo wa mpongo love unaitwa ndaya. acha tu!
 
utajutia ndugu, wadau wazuri wa matandao wa tigo tunajua kuwa tigo sasa wanaifanyia tu marekebisho mitambo yao so ikitoka hapo sijui mtatushikia wapi
 
ikitoka tutadandia tena tu, ila kuibiwa no!
 
Wadau mimi mwenyewe hawa tigo wananikera ile mbaya jumamosi iliyopita nilikuwa sina salio kabisa nikawa napiga zile simu za ujumbe... Baadaye nikaja kuweka salio la shiling 5000 bado nikijaribu kupiga simu naambiwa nimefikia hatua ya mwisho kutumia huduma ya ujumbe.. Nikipiga simu Customer care ishu ni ile ile. Nikaamua kununua tena vocha ya 1000 ndio ikakubali na salio likasoma 6040. Kweli jamaa hawa wana maudhi mpaka basi.
Itabidi nianze kutumia Airtel maana line yangu ya Airtel inajulikana na watu wasiozidi hata kumi....
 
Manyanza@ inaelekea ulikuwa na sh 40 kwenye simu, lakini hata kutoka, haikutoka, hata beep haikwenda.
Mimi natumia tigo na airtel. Siwezi kuwatofautisha, mana wote wako ki wizi wizi tu. matangazo yao hayaendani na huduma zao kabisa.
 
Yaani ni marumbano yaani ni Mateso najiweka pembeni nipishe... Tigo kweli wamechemsha tuache utani me sielewi why mtandano niliokomaa nao long time tokea analogue hadi digital hata kuitetea siwezi

Kuna time zile ilipokuwa inaitwa buzz pale ndio ilikuwa tamu zaidi kwani waliweka mtandao wa www.mybuzz.co.tz so tukawa tunaregister na kuweza kuona simu tulizopiga msg tumetuma wapi na tumepokea from nani basi raha na ku add marafiki kama facebook lilipokuja hili litundu la choo ndio ikawa kushnei yaani maregia from ukiweka salio linaisha kama njugu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom