OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,191
- 103,711
mkuu huo sio mtazamo wangu. Hivyo ndivyo vigezo vya kwamba alijali utu ama lah. Huwezi kufanya kuyaacha hayo halafu ukasemwa ulijali utu. Hata kama angekuwa ananipa mkate na siagi kila asubuhi,kama ameyaacha hayo basi sio mpenda utu. Utu ni kujali watu. Utu hauwezi kuwa compansated na madaraja. haaa haaaNi sawa kwa mtazamo wako Wala siwezi kukupinga maana ndivyo umeona wewe na ibaki kuwa hivyo haina tatizo, naheshimu sana mtazamo wa mtu.
Na Mimi nina mtazamo mwingine kabisa juu ya JPM na ibaki kuwa hivyo pia.
Hizo hoja zimeshajadiliwa sana humu na haitasaidia kubadili mawazo ya mmoja wetu yoyote.
JPM hakuwa malaika tuseme hakufanya makosa, na bahati mbaya makosa hayo yamekuathiri wewe zaidi.
Bahati nzuri mimi sijaathirika na makosa yake, ndio maana naangalia mambo yake mazuri zaidi ya mabaya.
Mlio umizwa na JPM poleni, ila sisi wengine tutaendelea kumuenzi kwa mazuri aliyoyafanya.