Nimegundua traffic wengi wa Dar wana wivu tu wa kimaendeleo

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Nilichogundua traffic wengi hawa wa barabarani wana wivu wa kike tu

Unakamatwa tu hovyo hovyo kila siku na kulimwa faini kibao

Mwingine anakukamata anakusimamisha kukuchelewesha tu au kukupotezea tu mda

Wivu huo ni wivu wa magari na roho ya kwanini huyu jamaa anatembelea gari kali au kwanini huyu ana gari wakati mm nina miaka 20 kazini sina hata bodaboda

Wengi wanasumbuliwa na choyo,wivu tu wa kimaendeleo anaangalia alivyochakaa miaka 20 hajanunua hata bodaboda we unapita na range rover sport mpya ya mamilioni au V8 mpyaaa halafu yeye anajisikiaje??

Wengi hawafanyi kanakwamba ni kazi au kakukamata kwa kosa nop wengi tu wanafanya hivyo kwa wivu tu na roho ya kwanini
 
Wale jamaa baada ya kukusimamisha anakuja hadi dirishan jambo la kwanza kabisa anaangalia fuel geji imesimamia wap ole wako mshale uwe umesimama wima au umevuka cheti kinakuhusu.
 
Kuandika hiyo post haimaanish kuwa namilik gari isipokua nimetoa mtazamo km mtumiaji wa gari.
Hata kama unamiliki gari haikuondolei haki ya kuandika jambo unaloona ni vema kushare na wengine. Naona wasio na magari wanahisi unyonge wakati ni jambo la kawaida sana it's a matter of choices.
 
Fata Sheria Za Barabarani Wewe.......! Acha Lawama Wenzio wako Kazini Kung'amua wale Wasiofata Sheria Za Barabarani.....! Ujue Wanalipwa mshahara kwa Kodi Zetu lazima wajitume
 
Umiliki mkebe mkali town 'range sport' afu uone kwikwi kudondosha 'mwekundu' mmoja kwa traffic akabrashie kiatu?!!

Acha ubagamoyo. Mara moja moja unadondosha unyoya.

"...Weekend tukicruise town, ni mshiko kwa dashboard... traffic kuwacool down"

What's up D'knob a.k.a Mr Sahani. Long live homeboy.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom