MzaramoTz
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 1,829
- 2,986
Afadhali yako mimi nimemtafuta wa hivyo kanikosa
SHIKILIA HAPOHAPO
Ni kweli kabisa mkuu kwa wanawake wa sasa jinsi walivyo yaaani sihitaji kabisa kuvuruga amani iliyopo, najua nikishaanza kuonyesha usaliti naye ataondoa uaminifu kwangu na ndio itakuwa sababu ya kutafuta naye mtu mwengine.
Hapa niliposhika sitapaachia kwa kweli.