Nimegundua siri, ukiwa na mapenzi ya kuchimba chimba umekwisha

Afadhali yako mimi nimemtafuta wa hivyo kanikosa

SHIKILIA HAPOHAPO

Ni kweli kabisa mkuu kwa wanawake wa sasa jinsi walivyo yaaani sihitaji kabisa kuvuruga amani iliyopo, najua nikishaanza kuonyesha usaliti naye ataondoa uaminifu kwangu na ndio itakuwa sababu ya kutafuta naye mtu mwengine.

Hapa niliposhika sitapaachia kwa kweli.
 
Kiukweli mi nashkuru kwa niliyenae hata hana habari na simu anaweza akaiacha hapo hata masaa mangapi wala hana habari nayo.

Hutasikia mwanaume kapiga wala kutuma msg na akitongozwa au kuombwa namba lazma aniambie. Hata nikijikuta nataka kuanzisha maongezi na mwanamke namkumbuka yeye, basi naacha mara moja najua ntasababisha amani ipotee narudisha moyo nyuma naachana kabisa na mawazo ya kuwa na mwanamke mwengine.

Nashkuru sana MUNGU kunizawadia huyu mwanamke kwa kweli. Ni wachache sana chini ya jua wapo mfano wake.
Yakupasa kumuamini kwa kiasi,na si kumuamini 100% kwani siku ukiambiwa analiwa na kidume mstaarabu daima hutakakaa uamini,na hata ukishikiwa manati pia hutaamini kama kuna mtu anamtawanya miguu tofauti na wewe,,
Mhimu muamini kwa 90% na hizo kumi weka tahadhali maana si malaika huyo.
 
Kiukweli mi nashkuru kwa niliyenae hata hana habari na simu anaweza akaiacha hapo hata masaa mangapi wala hana habari nayo.

Hutasikia mwanaume kapiga wala kutuma msg na akitongozwa au kuombwa namba lazma aniambie. Hata nikijikuta nataka kuanzisha maongezi na mwanamke namkumbuka yeye, basi naacha mara moja najua ntasababisha amani ipotee narudisha moyo nyuma naachana kabisa na mawazo ya kuwa na mwanamke mwengine.

Nashkuru sana MUNGU kunizawadia huyu mwanamke kwa kweli. Ni wachache sana chini ya jua wapo mfano wake.
Yaani huwezi amini mkuu,wewe umeoa kahaba! Hizo ni mbinu za makahaba wanaopata watu wa kuwaoa. Anajifanya mtakatifu lkn ukweli anagongwa mpaka akiwa anatoka kanisani anapitia kwanza kugongwa. Halafu akikuambia ametongozwa ujue huyo hajamkubali,anaowakubali hawezi kukuambia!!
 
Kwa kweli mi nimeahidi kutofuatilia simu ya mtu lakin nikikuta inatumika japo najua ana contact nyingi karoho kanauma fulani hivi....najitahidi kujicontrol.
 
Yaani huwezi amini mkuu,wewe umeoa kahaba! Hizo ni mbinu za makahaba wanaopata watu wa kuwaoa. Anajifanya mtakatifu lkn ukweli anagongwa mpaka akiwa anatoka kanisani anapitia kwanza kugongwa. Halafu akikuambia ametongozwa ujue huyo hajamkubali,anaowakubali hawezi kukuambia!!
We ni mchawi sio siri
 
UKIONA HIVYO Umeanza kuwa Malaya!
dalili mojawapo mtu ukianza kuwa Malaya ni kutokuwa na wivu kwa mpenzi wako!
😁😁😁 huu msemo mara ya kwanza niliusikia kwa mpoki. Ila una make sense sana
 
Ukimfuma mke wako analiwa na kidume, ukiweza(zingatia UKIWEZA)chukue/mteke mwanaume huyo mpeleke sehem ya kificho, af muandalie LIMAO NDOO 2 ale KUTWA NZIMA/ASHINDE ANAKULA LIMAO TU HAD AZIMALIZE, hapo umemsimamia na mapanga na marungu na visu na bisibisi na shoka.

Usimpige, hakikisha anakula LIMAO ZOTE KUTWA NZIMA BILA KUPUMZIKA/ASUBUH HADI JION ANAKULA TU LIMAO

wakat huo unafikirianadhab ya kumpa mke wako
 
Unaweza kujinyinyoa roho yako, mi mkuu nilienda mbali nika install na Cocospy na ku access msg zake insta na tsup, nikajikamulua maji ya limao 😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndugu zangu niwape tu ushauri kutokana na kile kuklichoniitesa kwa muda mrefu sana,
Mimi nilikua ni mzee wa kuchimba chimba sana yani nikiwa na mpenzi namfatilia kila kitu

Hata akitoka nafatilia anaenda ni wapi? eti mawazo yananituma labda anaenda kuliwa ngoja nimfatilie,
Nikimtumia sms asipojibu kwa mda nawaza itakua yuko na mwanaume huyu,

Nikimuona amesimama na mwanaume yani nakua na mashaka sana mpaka nifatilie huyi mwanaume ni nani?

Kila muda nilikua napenda kufuatilia simu yake nione charting zake,

Aisee stress zilikua haziniishii maana kila muda nilikua namuwaza tu yeye

Lakini tangu nimeacha kumchimbachimba mishe zake yani saivi niko fresh kabisa,

Sifatilii tena mambo sijui ya kumpigia simu nikakuta yuko bize sitaki tena kuanza kuhoji ulikua unaongea na nani,
Hata nikikuta kabanishwa na mwanaune chocho mimi sifatilii tena hayo,
Simu yake ndio kabisa niliacha maswala ya kuifuatilia,

Kiukweli tangu nimemuacha awe huru na mimi nimekia huru sana sina tena stress za kijinga,
Mimi sasa hivi kazi yangu itakua ni kuhonga na kula mzigo tu,
Maswala ya kujipa kazi za kufuatilia mtu mzima nimeachana nayo, na stress sina tena

Nawashauri mnaoteseka na mapenzi, acheni maswala ya kuchimbachimba wenzi wenu siku hizi mapenzi ya dhati ni adimu kuyapata.

Bora usijue kuliko kujua
Nguvu ya kujua mabaya ni mbaya sana kwani nilipokua kila nikigundua anachat na mwanaume mwingine mimi nakua sina amani kabisa
Ndio maana kumbe watu wanajinyongaga kisa mapenzi ni kwasababu wanawafuatilia sana wenzao

IN SHORT NI KWAMBA SINA TENA MAPENZI YA DHATI NA SITAJARIBU KUYAFANYA TENA KWA MTU YOYOTE YULE
 
Back
Top Bottom