Nimegundua siri, ukiwa na mapenzi ya kuchimba chimba umekwisha

5997

JF-Expert Member
Jan 19, 2019
514
1,204
Ndugu zangu niwape tu ushauri kutokana na kile kuklichoniitesa kwa muda mrefu sana,
Mimi nilikua ni mzee wa kuchimba chimba sana yani nikiwa na mpenzi namfatilia kila kitu

Hata akitoka nafatilia anaenda ni wapi? eti mawazo yananituma labda anaenda kuliwa ngoja nimfatilie,
Nikimtumia sms asipojibu kwa mda nawaza itakua yuko na mwanaume huyu,

Nikimuona amesimama na mwanaume yani nakua na mashaka sana mpaka nifatilie huyi mwanaume ni nani?

Kila muda nilikua napenda kufuatilia simu yake nione charting zake,

Aisee stress zilikua haziniishii maana kila muda nilikua namuwaza tu yeye

Lakini tangu nimeacha kumchimbachimba mishe zake yani saivi niko fresh kabisa,

Sifatilii tena mambo sijui ya kumpigia simu nikakuta yuko bize sitaki tena kuanza kuhoji ulikua unaongea na nani,
Hata nikikuta kabanishwa na mwanaune chocho mimi sifatilii tena hayo,
Simu yake ndio kabisa niliacha maswala ya kuifuatilia,

Kiukweli tangu nimemuacha awe huru na mimi nimekia huru sana sina tena stress za kijinga,
Mimi sasa hivi kazi yangu itakua ni kuhonga na kula mzigo tu,
Maswala ya kujipa kazi za kufuatilia mtu mzima nimeachana nayo, na stress sina tena

Nawashauri mnaoteseka na mapenzi, acheni maswala ya kuchimbachimba wenzi wenu siku hizi mapenzi ya dhati ni adimu kuyapata.

Bora usijue kuliko kujua
Nguvu ya kujua mabaya ni mbaya sana kwani nilipokua kila nikigundua anachat na mwanaume mwingine mimi nakua sina amani kabisa
Ndio maana kumbe watu wanajinyongaga kisa mapenzi ni kwasababu wanawafuatilia sana wenzao

IN SHORT NI KWAMBA SINA TENA MAPENZI YA DHATI NA SITAJARIBU KUYAFANYA TENA KWA MTU YOYOTE YULE
 
Na yeye asikufatilie hapo inakuwa bilabila mkae tu mkisubiria nani atamletea mwenzie magonjwa basi......
 
Inapendeza sana...

Ukifikia hatua ya kuacha kufuatilia fuatilia mwanamke wako ujue hapo sasa ndiyo umekomaa kiroho na kiakili... trust her, she will respect you...

Sababu binadamu hutomuweza, utajiumiza tu, as long as hujamshuhudia una assume yeye ni malaika wako...

Cc: mahondaw
 
Kiukweli mi nashkuru kwa niliyenae hata hana habari na simu anaweza akaiacha hapo hata masaa mangapi wala hana habari nayo.

Hutasikia mwanaume kapiga wala kutuma msg na akitongozwa au kuombwa namba lazma aniambie. Hata nikijikuta nataka kuanzisha maongezi na mwanamke namkumbuka yeye, basi naacha mara moja najua ntasababisha amani ipotee narudisha moyo nyuma naachana kabisa na mawazo ya kuwa na mwanamke mwengine.

Nashkuru sana MUNGU kunizawadia huyu mwanamke kwa kweli. Ni wachache sana chini ya jua wapo mfano wake.
 
Ndugu zangu niwape tu ushauri kutokana na kile kuklichoniitesa kwa muda mrefu sana,
Mimi nilikua ni mzee wa kuchimba chimba sana yani nikiwa na mpenzi namfatilia kila kitu

Hata akitoka nafatilia anaenda ni wapi? eti mawazo yananituma labda anaenda kuliwa ngoja nimfatilie,
Nikimtumia sms asipojibu kwa mda nawaza itakua yuko na mwanaume huyu,

Nikimuona amesimama na mwanaume yani nakua na mashaka sana mpaka nifatilie huyi mwanaume ni nani?

Kila muda nilikua napenda kufuatilia simu yake nione charting zake,

Aisee stress zilikua haziniishii maana kila muda nilikua namuwaza tu yeye

Lakini tangu nimeacha kumchimbachimba mishe zake yani saivi niko fresh kabisa,

Sifatilii tena mambo sijui ya kumpigia simu nikakuta yuko bize sitaki tena kuanza kuhoji ulikua unaongea na nani,
Hata nikikuta kabanishwa na mwanaune chocho mimi sifatilii tena hayo,
Simu yake ndio kabisa niliacha maswala ya kuifuatilia,

Kiukweli tangu nimemuacha awe huru na mimi nimekia huru sana sina tena stress za kijinga,
Mimi sasa hivi kazi yangu itakua ni kuhonga na kula mzigo tu,
Maswala ya kujipa kazi za kufuatilia mtu mzima nimeachana nayo, na stress sina tena

Nawashauri mnaoteseka na mapenzi, acheni maswala ya kuchimbachimba wenzi wenu siku hizi mapenzi ya dhati ni adimu kuyapata.

Bora usijue kuliko kujua
Nguvu ya kujua mabaya ni mbaya sana kwani nilipokua kila nikigundua anachat na mwanaume mwingine mimi nakua sina amani kabisa
Ndio maana kumbe watu wanajinyongaga kisa mapenzi ni kwasababu wanawafuatilia sana wenzao

IN SHORT NI KWAMBA SINA TENA MAPENZI YA DHATI NA SITAJARIBU KUYAFANYA TENA KWA MTU YOYOTE YULE
Siku zote mwanamke ndiye anayeniwazia; siyo wewe umuwazie mwanamke.
Mwanaume anawazia kipato na jinsi ya kuitunza family.

Ila usijisahau ukamuachia ajitawale, utaumia zaidi.
 
Kiukweli mi nashkuru kwa niliyenae hata hana habari na simu anaweza akaiacha hapo hata masaa mangapi wala hana habari nayo.
Hutasikia mwanaume kapiga wala kutuma msg na akitongozwa au kuombwa namba lazma aniambie. Hata nikijikuta nataka kuanzisha maongezi na mwanamke namkumbuka yeye, basi naacha mara moja najua ntasababisha amani ipotee narudisha moyo nyuma naachana kabisa na mawazo ya kuwa na mwanamke mwengine.
Nashkuru sana MUNGU kunizawadia huyu mwanamke kwa kweli. Ni wachache sana chini ya jua wapo mfano wake.
Afadhali yako mimi nimemtafuta wa hivyo kanikosa

SHIKILIA HAPOHAPO
 
Ndugu zangu niwape tu ushauri kutokana na kile kuklichoniitesa kwa muda mrefu sana,
Mimi nilikua ni mzee wa kuchimba chimba sana yani nikiwa na mpenzi namfatilia kila kitu

Hata akitoka nafatilia anaenda ni wapi? eti mawazo yananituma labda anaenda kuliwa ngoja nimfatilie,
Nikimtumia sms asipojibu kwa mda nawaza itakua yuko na mwanaume huyu,

Nikimuona amesimama na mwanaume yani nakua na mashaka sana mpaka nifatilie huyi mwanaume ni nani?

Kila muda nilikua napenda kufuatilia simu yake nione charting zake,

Aisee stress zilikua haziniishii maana kila muda nilikua namuwaza tu yeye

Lakini tangu nimeacha kumchimbachimba mishe zake yani saivi niko fresh kabisa,

Sifatilii tena mambo sijui ya kumpigia simu nikakuta yuko bize sitaki tena kuanza kuhoji ulikua unaongea na nani,
Hata nikikuta kabanishwa na mwanaune chocho mimi sifatilii tena hayo,
Simu yake ndio kabisa niliacha maswala ya kuifuatilia,

Kiukweli tangu nimemuacha awe huru na mimi nimekia huru sana sina tena stress za kijinga,
Mimi sasa hivi kazi yangu itakua ni kuhonga na kula mzigo tu,
Maswala ya kujipa kazi za kufuatilia mtu mzima nimeachana nayo, na stress sina tena

Nawashauri mnaoteseka na mapenzi, acheni maswala ya kuchimbachimba wenzi wenu siku hizi mapenzi ya dhati ni adimu kuyapata.

Bora usijue kuliko kujua
Nguvu ya kujua mabaya ni mbaya sana kwani nilipokua kila nikigundua anachat na mwanaume mwingine mimi nakua sina amani kabisa
Ndio maana kumbe watu wanajinyongaga kisa mapenzi ni kwasababu wanawafuatilia sana wenzao

IN SHORT NI KWAMBA SINA TENA MAPENZI YA DHATI NA SITAJARIBU KUYAFANYA TENA KWA MTU YOYOTE YULE
Dalili za umalaya
 
Hizo mambo nilishaachaga kitambo sana nilioona nitapata presha bure,ilifikia wakati nilikua nampa ugoro anuse ili akipiga chafya nijue kweli hajaenda kukutana na mwanaume
 
UKIONA HIVYO Umeanza kuwa Malaya!
dalili mojawapo mtu ukianza kuwa Malaya ni kutokuwa na wivu kwa mpenzi wako!
Na kitendo chake cha kuacha kumchimba chimba bhaaasi ndio mwenzake kaanzia hapo kufanya yake
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom