Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,743
14,667
Jana, nilisheherekea siku ya kuzaliwa ya Baba yangu Mzazi, tukaalika ndugu, jamaa na familia wa karibu kuja kumpongeza Mzee wetu

Katika kupika pika kule jikoni Akina mama sie, msichana mmoja akafunguka Kwa machozi mengi tukabakia na mshangao kwasababu NI Bibi harusi mtarajiwa,

Bibi Harusi: jamani Mimi nazidi kuchanganyikiwa mwenzenu, najua nimevishwa Pete j2 iliopita lakini juzi amenifuata Mesenja ofisini, akaniambia saini hapa nikasaini akaondoka..

Kufungua na kuangalia nakuta picha za mchumba wangu, anafanya Mapenzi na mwanaume mwenzake, tena anachekeleeea kabisa.

Nilitapika pale pale, sikula siku 3 nimelia Sana, sijamwuliza mpaka sasa mchumbangu, akipiga simu naongea nae kama hamna kitu, akitaka tuonane namkwepa namwambia corona mpaka leo Birthday ya Babu, nimeona nisipoongea ntakufaπŸ€§πŸ€•πŸ€’

Nifanyaje?! Mume wangu mtarajiwa NI Bwabwa(shoga)?!

Akatoa picha kwenye pochi akaziweka mbele yetu tukahakikisha kabisa.πŸƒπŸƒπŸƒ

Doh kweli bwana! MKWE NI Bwabwa, tena anatulizwa na jamaa amejazia kweli kweli kama wale ma bouncer wa kwenye makumbi ya starehe kama discoπŸ’ͺ

jamani mpeni ushauri biharusi mtarajiwa, akae au atembee πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Jana, nilisheherekea siku ya kuzaliwa ya Baba yangu Mzazi, tukaalika ndugu, jamaa na familia wa karibu kuja kumpongeza Mzee wetu

Katika kupika pika kule jikoni Akina mama sie, msichana mmoja akafunguka Kwa machozi mengi tukabakia na mshangao kwasababu NI Bibi harusi mtarajiwa,

Bibi Harusi: jamani Mimi nazidi kuchanganyikiwa mwenzenu, najua nimevishwa Pete j2 iliopita lakini juzi amenifuata Mesenja ofisini, akaniambia saini hapa nikasaini akaondoka..

Kufungua na kuangalia nakuta picha za mchumba wangu, anafanya Mapenzi na mwanaume mwenzake, tena anachekeleeea kabisa.

Nilitapika pale pale, sikula siku 3 nimelia Sana, sijamwuliza mpaka sasa mchumbangu, akipiga simu naongea nae kama hamna kitu, akitaka tuonane namkwepa namwambia corona mpaka leo Birthday ya Babu, nimeona nisipoongea ntakufa

Nifanyaje?! Mume wangu mtarajiwa NI Bwabwa(shoga)?!

Akatoa picha kwenye pochi akaziweka mbele yetu tukahakikisha kabisa.

Doh kweli bwana! MKWE NI Bwabwa, tena anatulizwa na jamaa amejazia kweli kweli kama wale ma bouncer wa kwenye makumbi ya starehe kama disco

jamani mpeni ushauri biharusi mtarajiwa, akae au atembee
Money Penny tatizo una vi stori vya kutunga sana sijui unataka ugundue nini kwa mfano?
 
Watajua wenyewe tu bana. Sasa huyo bi harusi anaolewa na shoga si bora aolewe hata mke wa kumi au awe mchepuko wa mtu tu.
Me kinachonishangaza NI kimoja Tu
Mpaka unaenda kuolewa ina maana ulisha-du na Huyo bwana
Katika ku-du kwao hakujua kuwa ni Bwabwa?!
Au mabwabwa wanaweza changanya kote, Wana TOA huduma Kwa wanawake na wanaume?! πŸ™„
Nisaidie Kwa Hilo plzπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Money Penny tatizo una vi stori vya kutunga sana sijui unataka ugundue nini kwa mfano?
We unadhani nataka kugundua nini labda?!
Me nakushauri msaidie Tu bi-harusi Kwa sasa
Ila kama umemwelewa bi harusi we nambie TuπŸƒπŸƒ
 
Back
Top Bottom