Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

Kama alikuwa anakupiga nao,utamu ulikukolea mpaka kutaka muoane,basi huyo si shoga

Wazungu wanamwita mwanamume kama huyo Bisexual..

Yaani huyo ni binadamu anaepata hisia za kimapenzi kwa jinsia zote

Kwa upande wangu hao ni watu wanaofaidi starehe ya sex

Ushauri wangu bakia nae muoane mle raha za sex,..

Threesome,mnainjoi mwanamme mmojaa wewe na mumeo nk

Life is too short,enjoy the life
🚶🚶🚶🚶🚶
 
Jana, nilisheherekea siku ya kuzaliwa ya Baba yangu Mzazi, tukaalika ndugu, jamaa na familia wa karibu kuja kumpongeza Mzee wetu

Katika kupika pika kule jikoni Akina mama sie, msichana mmoja akafunguka Kwa machozi mengi tukabakia na mshangao kwasababu NI Bibi harusi mtarajiwa,

Bibi Harusi: jamani Mimi nazidi kuchanganyikiwa mwenzenu, najua nimevishwa Pete j2 iliopita lakini juzi amenifuata Mesenja ofisini, akaniambia saini hapa nikasaini akaondoka..

Kufungua na kuangalia nakuta picha za mchumba wangu, anafanya Mapenzi na mwanaume mwenzake, tena anachekeleeea kabisa.

Nilitapika pale pale, sikula siku 3 nimelia Sana, sijamwuliza mpaka sasa mchumbangu, akipiga simu naongea nae kama hamna kitu, akitaka tuonane namkwepa namwambia corona mpaka leo Birthday ya Babu, nimeona nisipoongea ntakufa🤧🤕🤒

Nifanyaje?! Mume wangu mtarajiwa NI Bwabwa(shoga)?!

Akatoa picha kwenye pochi akaziweka mbele yetu tukahakikisha kabisa.🏃🏃🏃

Doh kweli bwana! MKWE NI Bwabwa, tena anatulizwa na jamaa amejazia kweli kweli kama wale ma bouncer wa kwenye makumbi ya starehe kama disco💪

jamani mpeni ushauri biharusi mtarajiwa, akae au atembee 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Khaaaaaa
 
Weeee!
MKWE ukimwona alivyo mzuri amesimama, hajapindapinda, ndio tulishangaa SAA ngapi anatinduliwa maji taka?!

Kwan picha zinaonesha wanatinduana au zinaonesha wamepiga picha wanaume wawili??

Isije kua kuna plan ya kusambaratisha mapenzi yao!!

Asikurupuke afanye uchunguzi atajua tu ukweli!! Ni ngumu kama wako karibu asijue
 
Jana, nilisheherekea siku ya kuzaliwa ya Baba yangu Mzazi, tukaalika ndugu, jamaa na familia wa karibu kuja kumpongeza Mzee wetu

Katika kupika pika kule jikoni Akina mama sie, msichana mmoja akafunguka Kwa machozi mengi tukabakia na mshangao kwasababu NI Bibi harusi mtarajiwa,

Bibi Harusi: jamani Mimi nazidi kuchanganyikiwa mwenzenu, najua nimevishwa Pete j2 iliopita lakini juzi amenifuata Mesenja ofisini, akaniambia saini hapa nikasaini akaondoka..

Kufungua na kuangalia nakuta picha za mchumba wangu, anafanya Mapenzi na mwanaume mwenzake, tena anachekeleeea kabisa.

Nilitapika pale pale, sikula siku 3 nimelia Sana, sijamwuliza mpaka sasa mchumbangu, akipiga simu naongea nae kama hamna kitu, akitaka tuonane namkwepa namwambia corona mpaka leo Birthday ya Babu, nimeona nisipoongea ntakufa🤧🤕🤒

Nifanyaje?! Mume wangu mtarajiwa NI Bwabwa(shoga)?!

Akatoa picha kwenye pochi akaziweka mbele yetu tukahakikisha kabisa.🏃🏃🏃

Doh kweli bwana! MKWE NI Bwabwa, tena anatulizwa na jamaa amejazia kweli kweli kama wale ma bouncer wa kwenye makumbi ya starehe kama disco💪

jamani mpeni ushauri biharusi mtarajiwa, akae au atembee 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
mje mshamba_hachekwi
Cr wa familia
 
Back
Top Bottom