Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

Kama unataka laana,endelea kuwa nae,yani huyo ukikutana nae tu siku moja katika yale mamb,tayari unafanya kosa ambalo watakuja kujutia watoto wako.
 
Me kinachonishangaza NI kimoja Tu
Mpaka unaenda kuolewa ina maana ulisha-du na Huyo bwana
Katika ku-du kwao hakujua kuwa ni Bwabwa?!
Au mabwabwa wanaweza changanya kote, Wana TOA huduma Kwa wanawake na wanaume?! πŸ™„
Nisaidie Kwa Hilo plzπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Nahisi wapo wa aina hiyo. Ana mke lakini nayeye ni mke wa mwanaume mwenzake.
 
Kama unataka laana,endelea kuwa nae,yani huyo ukikutana nae tu siku moja katika yale mamb,tayari unafanya kosa ambalo watakuja kujutia watoto wako.
Me kinachonishangaza NI kimoja Tu
Mpaka unaenda kuolewa ina maana ulisha-du na Huyo bwanaπŸ™„
Katika ku-du kwao hakujua kuwa ni Bwabwa?!
Au mabwabwa wanaweza changanya kote, Wana TOA huduma Kwa wanawake na wanaume?! πŸ™„
Nisaidie Kwa Hilo plz
 
Jamaa itakua alificha,na kuoa huko ni ile kuendelea kujifunika na pazia laa ndoa asijulikane.
Huyo dada hakushtuka mapema,bado hajachelewa sana.
 
Doh
Wanaume WA Dar mtawamaliza mabinti WA watu
Mnataka kuwaua kimya kimya?!πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
We unadhani nataka kugundua nini labda?!
Me nakushauri msaidie Tu bi-harusi Kwa sasa
Ila kama umemwelewa bi harusi we nambie Tu
Kama ni kweli ulivyo eleza huyo bi harusi mtarajiwa hana cha kupoteza hapo avunje tu hiyo mipango ya ndoa wanaume tupo wengi unaweza ukamshauri pia anicheki ili nimtimizie ndoto yake ya kuolewa na mwanaume rijali na sio shoga kama huyo.
 
Kwahiyo wewe hujaoa?!πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ™„
 
Doh
Wanaume WA Dar mtawamaliza mabinti WA watu
Mnataka kuwaua kimya kimya?!πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Kimya unashangaa mtoto wa kike hajielewi elewi,bora mikoani huku kwa wanaume wagumu sura hazieleweki makomando si makomando,wanajeshi si wanajeshi,huyo binti mpe pole,sijui atasingizia nini kwa wazazi wake.
 
Wazazi tena?!
Kwan wazazi ndio wanaenda kuolewa?!
Ana babati kuna Corona ningekwambia achukue mahari aliotolewa aingie Madagascar hapo akapumzike
Kwahiyo wewe NI mjeda?!
 
Hata mgambo sijawahi pita,tatizo lake na yeye hakumuona kama huyo mwanaume kajilegeza legeza.
 
Back
Top Bottom