Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 606
Dah
Picha?Bila picha ni ngumu kutoa msaada weka picha tuone
Huyo itakua walimuanza mapema. Sasa anataka mke Tena?Pole kwa yaliyomkuta
boss upo?Pole kwa yaliyomkuta
sauwaBila picha ni ngumu kutoa msaada weka picha tuone
weka k ulambe!chai hii
utamfanyaje?Aje kwangu tu
Nilikuona location na vitenge ndugu mshairiTatizo lilianzia hapa, huwa anapiga picha zile wanazoita location, photoshooting.
Nimejaribu kupitoa post zake za nyuma, nimeona upo sahihi kabisa huyu kutunga kawaidaAisee we manzi kwa vistori vya kutunga upo vizuri
ukaoata nini ylipopita?Nimejaribu kupitoa post zake za nyuma, nimeona upo sahihi kabisa huyu kutunga kawaida
TUONYESHE PICHA ILI TUSHAURIJana, nilisheherekea siku ya kuzaliwa ya Baba yangu Mzazi, tukaalika ndugu, jamaa na familia wa karibu kuja kumpongeza Mzee wetu
Katika kupika pika kule jikoni Akina mama sie, msichana mmoja akafunguka Kwa machozi mengi tukabakia na mshangao kwasababu NI Bibi harusi mtarajiwa,
Bibi Harusi: jamani Mimi nazidi kuchanganyikiwa mwenzenu, najua nimevishwa Pete j2 iliopita lakini juzi amenifuata Mesenja ofisini, akaniambia saini hapa nikasaini akaondoka..
Kufungua na kuangalia nakuta picha za mchumba wangu, anafanya Mapenzi na mwanaume mwenzake, tena anachekeleeea kabisa.
Nilitapika pale pale, sikula siku 3 nimelia Sana, sijamwuliza mpaka sasa mchumbangu, akipiga simu naongea nae kama hamna kitu, akitaka tuonane namkwepa namwambia corona mpaka leo Birthday ya Babu, nimeona nisipoongea ntakufa🤧🤕🤒
Nifanyaje?! Mume wangu mtarajiwa NI Bwabwa(shoga)?!
Akatoa picha kwenye pochi akaziweka mbele yetu tukahakikisha kabisa.🏃🏃🏃
Doh kweli bwana! MKWE NI Bwabwa, tena anatulizwa na jamaa amejazia kweli kweli kama wale ma bouncer wa kwenye makumbi ya starehe kama disco💪
jamani mpeni ushauri biharusi mtarajiwa, akae au atembee 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
endelea kusubiriTUONYESHE PICHA ILI TUSHAURI
hacha zako wewe vidume tupo tena vitombi haswaMwambie akasomee utawa tu siku hizi hamna wanaume halisi waoaji wapya wote ni mabwabwa tu
Nyie mnao semaga hivi ndio uwa mnawatomba haswa tushawasoma mnakanaga hadharaniMimi huwa sinaga mpango na wake za watu...
NiPM namba za huyo Bi Harusi mtarajiwa nimsaidie
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃hacha zako wewe vidume tupo tena vitombi haswa