Nimegundua kwanini waislam wanasema kufanya Mapenzi ni ibada

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Wakati wa sala kawaida tunafunga macho ili kuweka u serious na unyenyekevu katika maombi ili Mungu aweze kupokea maombi yetu. Kama ilivyo watu wakiwa wana sex au ku Kiss wanavyofumba macho. Kwa ufupi ku sex ni ibada so ukiifanya fanya ki unyenyekevu ili uweze kupata swawabu. Ikiwezekana ukiwa una sex Omba kabisa maombi yako ule muda maombi yanakubaliwa haraka sana kuliko mnavyo zani.
 
Inabidi kufafanua hapa, kufanya tendo la ndoa ndiyo ibada, na wala siyo kesex tu na yeyote.

Tendo la ndoa ni kusex na mkeo.
 
Wakati wa sala kawaida tunafunga macho ili kuweka u serious na unyenyekevu katika maombi ili Mungu aweze kupokea maombi yetu. Kama ilivyo watu wakiwa wana sex au ku Kiss wanavyofumba macho. Kwa ufupi ku sex ni ibada so ukiifanya fanya ki unyenyekevu ili uweze kupata swawabu. Ikiwezekana ukiwa una sex Omba kabisa maombi yako ule muda maombi yanakubaliwa haraka sana kuliko mnavyo zani.
Kwanza correct Lafudhi :- Swawabu = Thawabu
Zanu = Dhani
Kuheshimu na kimaadili ya Jamii iwe wahusika wa halali na ridhaa ...
 
Acheni uongo... mtu anafumba macho wakati anasali ili kufanya meditation ya kuunganishwa kiroho na Mungu, ndio maana mtu akiwa anasali amefumba macho na katulia hasa anajisikia kama yuko mbinguni Exactly katika hali hiyo roho yako inakua spiritually connected with God ndio maana hua unajisikia raha furani moyoni.. (soma zaizi kuhusu meditation)

Ila...
watu hufunga macho wakati wakifanya mapenzi au kukiss kwakua tendo la ndoa linahusisha ambazo zinatoka kwenye ubongo, hivyo unapofunga macho unakua unafanya concerntration ya kuruhusu hisia kuflow kwenye mwili wako
Wakati mwingine kufumba macho ni kwa vile uwezo wa kiyashikilia huna maana controller (ubongo) unakuwa umepungukiwa damu and hence oxygen hivyo kupungukiwa na uwezo wa kuya-control... Ndo maana wengine Hadi udenda unawadhinda kuushikilia usitoke mdomoni.... Kwa hiyo ishu ni uwezo wa ubongo kupungua na siyo kugumba macho eti unasali..!!!
 
Kufanya mapenzi ni ibada??hii mpya asee

Kufanya jambo lolote halali ni ibada, ibada ni mkusanyiko wa mambo yote mema ya halali sio kuswali tu bali na kufunga, kutoa sadaka, au zaka au kuhiji tu ambazo ni ibada kubwa hizo bali kufanya tendo la ndoa (mume na mke) na nyote mkaridhika na kupata furaha ya moyo na utulivu kwa kutekeleza amri au sheria hiyo ya Mungu kwanini usipate thawabu.

Kinyume chake ni kufanya zinaa ambapo mtu unapata dhambi na ndiyo maana unapofanya tendo la ndoa (mke na mume) hapo mtu unapata thawabu.
 
Acha kutuchanganya. Ibada ina utaratibu wake ili iwe ibada. Angalia ibada ya waislam na sex inavyofanyika utuambie connection iko wapi.

Ni neno lulumtoka mtu na watu wakalifurahia ila there is no connection vinginevyo utaishia kuwatukana watu na jinsi yao ya kusali kwa kuwaamisha watu kuwa ile ni sex position
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom