Nimegundua Kuwa na Marafiki ni by the way tu hakuna kati yao anasaidia chochote wakati wa dharura!!

KITEKSORO

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
346
425
Wandugu mko salama salimini?

Nimegundua marafiki tulio nao wengi ni marafiki pale tu kila kitu kikiwa ok yaani mnakunywa na kula navstori etc ila pata dharura ambayo inahitaji support yao yaani utashangaa!!

Siku hazifanani, kuna siku unaamka huna cash ya kutosha , labda hela iko kwenye mzunguko na unajua kabisa in say three days you will be as liquid as usual. Sasa mara paap simu inakuja mama mzazi au mtoto kaumwa ghafla, you need some money.

Aise utashangaa yaani hata laki tu kuipata inakuwa ishu kweli kweli wakati hao hao ukiwa nazo unawapiga maround kibao ya bia wanakenua tu!!

Yaani bora kumbe mtu mda wote uassume you are all alone!! Kuwa na marafiki lukuki kumbe haina tija ni kuchoma tu hela. Likikukuta la kukukuta ni wewe kama wewe!! Mbaya zaidi kati ya hayo majamaa unakuta yalishakupiga mizinga mara kibao hata husiti kuyapa ila inatokea una shida genuine kabisa kila limoja linadai haliko fiti kabisa shenz type!!
 
Na kuna muda unaona bora uwe na roho ngumu hata mtu alie vipi usimkopeshe,haiwezekani rafiki yako anakulilia shida unamkopesha lakini halipi....mimi kuna raia nishawafungia vioo hata anilalamikie vipi namuambia hela ya kukupa ninayo lakini sikupi kwa uliyonifanyia.....hata kama sina hela nitakuambia ninayo lakini sikupi
 
Mimi sitaki kabisa mambo ya rafiki.

Kuna mdau yeye namkopesha kila siku,ila nikimkopa mimi analia shida na dhiki kibao,sio moja wala mara mbili.

Nikaona isiwe kesi,nikamkata rasmi sasa hivi hata nifulie vipi simuombi mtu.
Wandugu mko salama salimini?

Nimegundua marafiki tulio nao wengi ni marafiki pale tu kila kitu kikiwa ok yaani mnakunywa na kula navstori etc ila pata dharura ambayo inahitaji support yao yaani utashangaa!!

Siku hazifanani, kuna siku unaamka huna cash ya kutosha , labda hela iko kwenye mzunguko na unajua kabisa in say three days you will be as liquid as usual. Sasa mara paap simu inakuja mama mzazi au mtoto kaumwa ghafla, you need some money.

Aise utashangaa yaani hata laki tu kuipata inakuwa ishu kweli kweli wakati hao hao ukiwa nazo unawapiga maround kibao ya bia wanakenua tu!!

Yaani bora kumbe mtu mda wote uassume you are all alone!! Kuwa na marafiki lukuki kumbe haina tija ni kuchoma tu hela. Likikukuta la kukukuta ni wewe kama wewe!! Mbaya zaidi kati ya hayo majamaa unakuta yalishakupiga mizinga mara kibao hata husiti kuyapa ila inatokea una shida genuine kabisa kila limoja linadai haliko fiti kabisa shenz type!!
 
ukiwa nazo unawapiga maround kibao ya bia wanakenua tu!! ukiwa na shida za bar watakutafuta wala usiwaze......./😁😁😁😁😁😁😁
 
Wandugu mko salama salimini?

Nimegundua marafiki tulio nao wengi ni marafiki pale tu kila kitu kikiwa ok yaani mnakunywa na kula navstori etc ila pata dharura ambayo inahitaji support yao yaani utashangaa!!

Siku hazifanani, kuna siku unaamka huna cash ya kutosha , labda hela iko kwenye mzunguko na unajua kabisa in say three days you will be as liquid as usual. Sasa mara paap simu inakuja mama mzazi au mtoto kaumwa ghafla, you need some money.

Aise utashangaa yaani hata laki tu kuipata inakuwa ishu kweli kweli wakati hao hao ukiwa nazo unawapiga maround kibao ya bia wanakenua tu!!

Yaani bora kumbe mtu mda wote uassume you are all alone!! Kuwa na marafiki lukuki kumbe haina tija ni kuchoma tu hela. Likikukuta la kukukuta ni wewe kama wewe!! Mbaya zaidi kati ya hayo majamaa unakuta yalishakupiga mizinga mara kibao hata husiti kuyapa ila inatokea una shida genuine kabisa kila limoja linadai haliko fiti kabisa shenz type!!

Pole kaka kwa kupata somo..mchuma janga ula na wakwao sio marafiki. Marafiki ni kupiga story na kunywa bia tuu but when sh*t hits the fan watakao kuokoa ni ndugu zako. ....kamwe usitegemee marafiki utaumia sansana watakaa wakucheke.
 
Ukitaka kujua rafiki wa kweli pata shida ndiyo utajua ,mf kwenye simu unawatu kibao lakini hakuna hata 1 ambaye anaweza kusaidia japo 20, bora nibaki na watu 5 tu
Yaani mkuu acha tu. Kumbe tumezungukwa na mijamaa ya hovyo kweli kweli

Yaani mkuu kwa kweli nimechelewa sana kujua hili. Tumezungukwa na mijamaa ya ajabu sana kumbe!!
 
Marafiki wa kweli wapo ila ni wachache sana, cha muhimu inabidi uwatambue na kuwatenganisha marafiki wa kunywa na kula tu na marafiki wa raha na shida na kila upande ucheze kulingana na umuhimu wao.
Kwa kweli yaani I almost lost my mother kila limtu linasema halina hela, hata yale ambayo nilishayasaidia hela kibao. Mijamaa ijumaa jioni yanakupigia masimu kibao ili mkaspend kumbe likikukuta hawako na wewe kabisa !!
 
Back
Top Bottom