Nimegundua kuna hatari ya ongezeko la chuki nchini Tanzania

Fake id's ndo zinawapa watu ujasiri wa kuonyeshana chuki, trust me watu wanaotupiana matusi humu jf kisa dini,kabila au siasa huko mtaani hao watu ni maswahiba tu.
Kwasababu ya kutumia id fake na kutojulikana mtu anadiriki kusema mtuwe Muhammad(SAW) ni mbakaji akiwa na lengo la kuwakwaza waislamu lakini akiwa mtaani huyo mtu hawezi kuthubutu kutamka uduvi huo mbele ya wanajamii, the same to politics, the same to tribalism and regionalism.
Mkuu shusha net ulale there is nothing to fear.
Tatizo ni kwamba hutamka toka moyoni.
 
Mleta mada unashauri nini? faida ya kujadili matatizo ni kutafuta solution yake otherwise ni kupoteza muda bure tu.
 
Sehemu palipo na ubaguzi siku zote maendeleo huwa ni hafifu. Sehemu palipo na ubaguzi kuna chuki, choyo, usaliti, unafiki, dhuluma na kuna uvunjifu wa amani na haki za kibinadamu, haki hutolewa kwa upendeleo. Kila mmoja wetu mpenda maendeleo anapaswa kukataa mchana kweupe ubaguzi wa aina yeyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada unashauri nini? faida ya kujadili matatizo ni kutafuta solution yake otherwise ni kupoteza muda bure tu.
Nafikiri watanzania wengi kwa sasa wanaliona kabila la wasukuma linapewa treatment tofauti na mengine na Rais wetu, angali ubomoaji wa nyumba na kauli za Rais alipofika Mwanza, angalia teuzi nyingi anazozifanya Anzia mkuu wa Majeshi, signatory mkuu wa BOT, angalia kauli na matendo na wateule wake wa kabila lake, Mfano Makonda, Mnyeti japo sina uhakika kama ni msukuma, angalia na huyo aliyeuwa juzi Singida,. Vilevile angalia malalamiko ya watu juu ya ujenzi wa Chato airport.

Nafikiri hayo na mengine machache hayaleti ishara njema kwa wengine. Ningeshauri tu Rais wetu awatreat watu na makabila yote kwa usawa, kama walivyotenda watangulizi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hata mimi nitaamini kuna chuki wakiweza kumuua Magufuli.
Kama Magufuli hauwawi au hapinduliwi, siamini kama kuna chuki.
 
Sehemu palipo na ubaguzi siku zote maendeleo huwa ni hafifu. Sehemu palipo na ubaguzi kuna chuki, choyo, usaliti, unafiki, dhuluma na kuna uvunjifu wa amani na haki za kibinadamu, haki hutolewa kwa upendeleo. Kila mmoja wetu mpenda maendeleo anapaswa kukataa mchana kweupe ubaguzi wa aina yeyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ubaguzi hautaisha dunia hii.
 
Hiyo #1 miaka miwili nyuma hali humu ilibadilika pakawa shwari kabisa kutokana na either waanzilishi wa zile mada walikuwa wameacha kuingia humu au walibadilika ila kuna baadhi wamerudi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hahaha hapana sifurahii kuuwawa binadamu mwenzangu, ila hiyo ndiyo itakuwa litimus test kwangu kuthibitisha kweli chuki ipo.
Bila kumuua au kumpindua Magufuli, basi chuki Tanzania ni uongo.
Hata km una id fake na upo nyuma ya keyboard kufurahia hiki ili umepitiliza mipaka, najua kimtazamo binadamu tupo tofauti ila hili kwako ni zaidi ya upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom