Nimegundua Kitu

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,340
2,000
Mademu wa siku hizi hawawezi kutengeneza kashimo/kitobo ardhini wakati wa kukojoa. Hivi kwanini wazamani walikua wanaweza?
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,785
2,000
Kaka Jambazi,nadhani ni kwa sababu mademu wa zamani walikuwa wanaojoa (ashkum si matusi) barabarani na kwenye majani. Wa siku hizi wanakojoa ******. Laumu maendeleo kaka
 

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
1,225
Wasaa; Kwa sababu bomba ni la nchi 6 na maji yanayopita ni ya nusu nchi kwa hiyo maji hayawi na presha kubwa hivyo yanashindwa kutengeneza kitobo.
Wazamani: Bomba nusu nchi maji ya nusu nchi presha kubwa kitobo kinatengenezeka.
mmenipata
 

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,501
0
  1. umegunduaje kama wewe sio demu?
  2. bado unaenda haja ndogo/kubwa chakani?
  3. hutumii choo?
 

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,340
2,000
Wasaa; Kwa sababu bomba ni la nchi 6 na maji yanayopita ni ya nusu nchi kwa hiyo maji hayawi na presha kubwa hivyo yanashindwa kutengeneza kitobo.
Wazamani: Bomba nusu nchi maji ya nusu nchi presha kubwa kitobo kinatengenezeka.
mmenipata


Nakumbuka zamani skuli nilikua namsubiria demu akoj*a afu mi naenda weka cha kufanyia na kufili lile joto.
 

Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
44,686
2,000
Mada nyingine bwana, haya yetu macho na maskio!! kumbe kuna vitobo na matobo!!!!
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,412
2,000
Mazee umefanyia research wangapi? Unaweza kuchapisha findings kwenye journals kama "Nature" au "Science" utuinue na sisi tuwemo katika wanaofanya research.

Au ni mambo ya kuchungulia tu bila research ?
 

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,857
2,000
Wasasa; Kwa sababu bomba ni la nchi 6 na maji yanayopita ni ya nusu nchi kwa hiyo maji hayawi na presha kubwa hivyo yanashindwa kutengeneza kitobo.

Wazamani: Bomba nusu nchi maji ya nusu nchi presha kubwa kitobo kinatengenezeka.
mmenipata

Kweli Kichwa Ngumu, nina kusapoti.

Je mwanamke mwenye makalio makubwa anakuwa na nani hii tight zaidi kuliko mwembamba? Ila mwanamke mwembamba anakuwa na tamuu iliolegea?

Pia mwanamke mwenye makalio makubwa ana faida nyingine, ni kuwa hawapati kansa.

Pia maziwa makubwa, sio sana ila wastani ni mtamu zaidi?
 

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,654
2,000
kaka hii ni kweli kabisaaaaaaa umenikumbusha mbali saaaaaaana mika ya mwanzoni ya themanini wakati nipo primary school yaani utoto bana wa ajabu sana, ilikuwa demu akienda haja ndogo km ni pembeni ya barabara au kichakani lazima tukachungulie akishatoka km eti mkojo umechimba kashimo, basi tukikuta ka shimo tunafuraaaaaaahi, mwe sijui hata ilikuwa ni nini.
 

bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
3,899
2,000
Samahani hiyo labda ni ya kwenu bush lakini mimi sijawahi kusikia kitu kama hicho cha kuchimba vishimo. Ndiyo first time kweenye hii topic.
 

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,401
2,000
Mademu wa siku hizi hawawezi kutengeneza kashimo/kitobo ardhini wakati wa kukojoa. Hivi kwanini wazamani walikua wanaweza?

Hiyo tabia yako ya kuchungulia watoto wa watu wakati wanaenda haja ndogo siku wakikukamata wakakupa nundu kama ya mzee anayefanana na location yangu hapo wala usije humu kutueleza umelazwa tukukumbuke kwa sala.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom