Nimegundua kajukwaaa maarufu sana hapa JF

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
imegundua kuna kajukwaaa maarufu sana hapa JF ambako sio watu wengi sana wanachangia lakini wengi lazima waingie japo kupitisha macho (Nikiwa mmoja wao) Ila kuna wachangiaji maarufu sana wa kajukwaa hako kama
  1. Boflo
  2. Cartura
  3. Erotica
  4. Silent.........

Nafikiri mmeshakajua, what does this tell you?
 
Hata kama ni Chit Chat lakini uzi hauna mashiko kabisa!!!=

Mbona umemsahau Kongosho, AshaDiii na wengine wengi tu. Labda kama ulitaka kujipendekeza kwao.
 
Kwahiyo?

That tells me nothing.
Kwa mfano when i log in kwenye chit chat najua ntakutana na vitu vitakavyonifanya nicheke, niseme kitu hata kama sijasema the whole day na kadhalika. Nikiingia kwenye siasa nategemea kukutana na habari za siasa (maana thats what runs the country) naweza pata habari mpya na naweza share my understanding on some issues. Nikiingia MMU the same............. Sasa watu wanapoingia kwenye hako kajukwaa whats their aim?
 
Umechemka wewe!
Cartura............
Silent...............
Hao makungwi wanapatikana jukwaa la wakubwa kwa sana!
Nadhani huko ndiko ulipokutana na majina hayo kila topic.
 
Umechemka wewe!
Cartura............
Silent...............
Hao makungwi wanapatikana jukwaa la wakubwa kwa sana!
Nadhani huko ndiko ulipokutana na majina hayo kila topic.
Dah nami sijasema jukwaa gani naliongelea hapo jamani
 
Umechemka wewe!
Cartura............
Silent...............
Hao makungwi wanapatikana jukwaa la wakubwa kwa sana!
Nadhani huko ndiko ulipokutana na majina hayo kila topic.
sema dogo...Sara anaendeleaje??!! afu ukionana na Mahone mwambie Pam anamtafuta sana...
 
..hutakiwi kumuaga mtu eti ni kule benchi la mwisho...na ukiingia unajificha watu wasikuone...hahahahahaha@Mamndenyi

Halafu amesahau kuwa wengine hatujafikia umri wa kuingia Disco aka under 18. Puliiz asitusemee kwa mafumbo
 
Back
Top Bottom