Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,893
Habarini Wadau,
Nimetafiti Individually then nikagundua kuwa kwa mazingira ya maisha yetu kimjinimjini,kuna tofauti zifuatazo :-
1) Flat screen ladies, wao ndio wanaendesha migari ya maana na heshima mijini. Sijui sababu ni ipi ila ukipiga jicho kwenye magari mazito mazito...kuanzia levels za Harriers,Lexus,Range,VolksWagen,BMW and the like zinaendeshwa na videm vizuri vya sura ila hasara 1 kubwa havina t'ako.
2) Viflat screen vina akili ya haraka sana/sharp minded kuliko madem waliojaliwa mizigo ya nyuma.
3) Viflat screen wengi ni walevi wa pombe kali na wanapenda kuchuna pesa nyingi sana- vibomu vyao ni vya kilometres nyingi kuliko hata waliojaliwa hagaz.
4) Viflat screen vingi vina roho mbaya. Haijalishi anafanya kazi wapi ILA wana roho mbaya kuliko vibonge hasa wakiwa wasomi.
5) Viflat screen a.k.a table mats wengi hawapendi nyimbo za taarab na wanaidis sana,wapo radhi kushabikia hiphop.
6) Wanawake wenye mikia yao iliyonona huwa wana huruma sana kwa wanaume kuliko vi table mats.
7) Wenye mikia yao wanafuatwa sana na wanaume na hivyo ni source ya migogoro mingi sana kwa wanaume.
8) Viflat vinapenda sana kwenda na fashion kuliko bongez.
mungu wabariki wadada wenye nyama zao za kutosha.
Nawasilisha.