tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,307
Kwa haya maumivu kiukweli siwezi kupachanja tena,panauma sana..mimi naulizia kama kuna pain killer inaweza kunisaidia,kuchanja hapana,sehemu inayouma hata kuishika siwezi,nge ni hatari wakuu kwa haya maumivu hata yule wa kisarawe akiamua kunitunuku bure kabisa muda huu,siwezi kumfanya chochote,tabaki namtazama tu!Mbona mimi niligongwa lkn sikwenda hospital lkn cha moto nilikiona.
Wengine wanadai unamkamata huyo nge unamchoma halafu majivu yake unapaka pale kwenye jeraha baada ya kuchanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtajie dawa gani ilikuponyeshapole sana na haka kamdudu kakishatimiza lengo lake kanatembea kwa spidi ya htr😔😔
kile kitendo cha kuchukua dekio tu,huyooo kanidaka kidole..uwii
Nilijikaza kufanya kazi zangu zote ..ila muda ulivyozidi kwnd mkono ukaanza kufa ganzi na mishipa km inavuta vuta..
Bad enough kifua kikawa kama kinajaa,mara kinabana,kumbe ni sumu inazidi kusambaa..Mpk ilipofika saa 5 jion ndio nikaenda duka la dawa,hapo nimeshalia mpk basi
sikumbuki jina mkuu ila akienda duka la dawa inapatikana..Mtajie dawa gani ilikuponyesha
Wewe ungefanyaje mkuu,na hili jukwaa lipo?nashukuru umenisaidia kunipa njia ya tiba pia,ila mimi sijaona kama nimekosea kuanzisha uzi,kwa sababu naamini mimi siwezi kuwa mtu wa mwisho kugongwa na nge,so kwa uelewa wangu mdogo kwa jinsi nilivyofuatilia mtiririko wa uzoefu wa watu waliowahi kupitia hali ninayoipitia,kuna wengi pia wataupata msaada hapa siku wakikutana na zahama ambayo nimekutana nayo..sio kila unachokijua wewe wote wanakijua mkuu!Maumivu ya Nge unaanzisha na thread!
Anyway,chanja kwa wembe sehemu iliyoumwa,ponda vitunguu swaumu pakaa juu ya kidonda pamix na damu,baada ya dk kadhaa maumivu hutoyasikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemeana na ng'eMkuu ng'e sio kila mtu akimjeruhi ana maumivu nae wengine hawasikii hata maumivu kabisa mimi ng'e akinigusa tu kwanza napoteza netiweki kwa masaa baadae maumivu yake siwezi kuelezea.
Hahahaha yani nyie ni waoga kweli,,,,Nakumbuka niliwahi kuwatembelea ndugu mkoa aisee nikajihisi kama kuna kitu kinatembea kichwani kuweka mkono uwiiiii mdudu kanigonga siku hiyo nililia mno nimewekwa dawa bado, siku ya pili nimevaa nguo tena kwenye paja niliapa sitoludi tena toka siku hiyo sikuwahi kuludi.
Hahahaha ng'e tu huyo .....poleni si kwa kuwaogopa hukopole sana na haka kamdudu kakishatimiza lengo lake kanatembea kwa spidi ya htr
kile kitendo cha kuchukua dekio tu,huyooo kanidaka kidole..uwii
Nilijikaza kufanya kazi zangu zote ..ila muda ulivyozidi kwnd mkono ukaanza kufa ganzi na mishipa km inavuta vuta..
Bad enough kifua kikawa kama kinajaa,mara kinabana,kumbe ni sumu inazidi kusambaa..Mpk ilipofika saa 5 jion ndio nikaenda duka la dawa,hapo nimeshalia mpk basi
Usipochanja utaumia zaidi we pachane kiasi tu damu itoke then pakaa dawa ulizoambiwa....ama nyanya iliyoivaKwa haya maumivu kiukweli siwezi kupachanja tena,panauma sana..mimi naulizia kama kuna pain killer inaweza kunisaidia,kuchanja hapana,sehemu inayouma hata kuishika siwezi,nge ni hatari wakuu kwa haya maumivu hata yule wa kisarawe akiamua kunitunuku bure kabisa muda huu,siwezi kumfanya chochote,tabaki namtazama tu!
Kapeace mama Ushawahi kutembezewa kichapo na huyo mdudu Usiombe yakukute.
Kapeace mama Ushawahi kutembezewa kichapo na huyo mdudu Usiombe yakukute.
Wew sio muoga unaweza kuvumilia maumivu.Nishawahi tena hata idadi sikumbuki japo kwa sasa nina muda mrefu nimekumbana na huyo mdudu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew sio muoga unaweza kuvumilia maumivu.
Mungu wangu...inatoka?Yawezekana mlikutana na walio katika kutaga.....maumivu yake ni komesha usipopata huduma mapema, sehemu ulipogongwa inakuwa nyeusi tii na kama u mjamzito basi inatoka
Sent using Jamii Forums mobile app