Nimegongwa na Nge

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,312
6,636
Wakuu nimegongwa na nge,wataalamu naomba mnisaidie tiba,natakiwa nifanyaje,maumivu ni makali sana na hadi saiv ishapita nusu saa bado sielewi natakiwa nifanyaje,msaada wenu tafadhali...
Scorpion.jpg
 
Chukua wembe Chana hapo alipo kujeruhi kisha Chukua njiti ya kibiriti kwangua baruti weka baada ya masaa mimi huwa natumia njia hii pole sana mkuu
 
Asante dahh haya maumivu ni extra-ordinary,hivi hawa wanawake wetu laini laini akigongwa kwa haya maumivu ninayoyahisi na ugangwe wangu,hawa viumbe si ndio watazimia kabisa na kwenda hospital kulazwa?tukumbushane kukung`uta viatu wazee,maana mimi nimekutana nae kwenye kiatu..
 
Mkuu ng'e sio kila mtu akimjeruhi ana maumivu nae wengine hawasikii hata maumivu kabisa mimi ng'e akinigusa tu kwanza napoteza netiweki kwa masaa baadae maumivu yake siwezi kuelezea.
 
Wakuu nimegongwa na nge,wataalamu naomba mnisaidie tiba,natakiwa nifanyaje,maumivu ni makali sana na hadi saiv ishapita nusu saa bado sielewi natakiwa nifanyaje,msaada wenu tafadhali...
Meza vidonge sita vya Vitamin C fasta. Meza vingie vitatu jioni, na kesho asubuhi vitatu. Endelea kumeza mpaka utakapopona.
 
uwii..alishawahi nigonga,jmn hakuna rangi niliacha ona ile siku..pole mkuu i can feel you pain
Nakumbuka niliwahi kuwatembelea ndugu mkoa aisee nikajihisi kama kuna kitu kinatembea kichwani kuweka mkono uwiiiii mdudu kanigonga siku hiyo nililia mno nimewekwa dawa bado, siku ya pili nimevaa nguo tena kwenye paja niliapa sitoludi tena toka siku hiyo sikuwahi kuludi.
 
Kwanza koma

Pili ungekua umemuua huyo nnge chanja hapo alipokuuma huyo nnge mchome na moto kisha weka majivu ya nnge hapo alipokugonga

Tatu kama nnge amekukimbia chanja alafu chukua unga wa njiti ya kiberiti weka hapo

Nne chukua jiwe la kimasai weka hapo huwa linanasa hadi sumu ikiisha linaanguka lenyewe,likishaanguka lichemshe kwenye maziwa akafu litunze kwa ajili ya kung'atwa na nnge na nyoka na tandu.

Tano nenda hospital kama mkono umekufa ganzi
 
Nakumbuka niliwahi kuwatembelea ndugu mkoa aisee nikajihisi kama kuna kitu kinatembea kichwani kuweka mkono uwiiiii mdudu kanigonga siku hiyo nililia mno nimewekwa dawa bado, siku ya pili nimevaa nguo tena kwenye paja niliapa sitoludi tena toka siku hiyo sikuwahi kuludi.
pole sana na haka kamdudu kakishatimiza lengo lake kanatembea kwa spidi ya htr😔😔
kile kitendo cha kuchukua dekio tu,huyooo kanidaka kidole..uwii
Nilijikaza kufanya kazi zangu zote ..ila muda ulivyozidi kwnd mkono ukaanza kufa ganzi na mishipa km inavuta vuta..
Bad enough kifua kikawa kama kinajaa,mara kinabana,kumbe ni sumu inazidi kusambaa..Mpk ilipofika saa 5 jion ndio nikaenda duka la dawa,hapo nimeshalia mpk basi
 
Hao wadudu hata awe mbali na mimi nikimuona tu namuuwa.
 
Mbona mimi niligongwa lkn sikwenda hospital lkn cha moto nilikiona.

Wengine wanadai unamkamata huyo nge unamchoma halafu majivu yake unapaka pale kwenye jeraha baada ya kuchanja.
Asante dahh haya maumivu ni extra-ordinary,hivi hawa wanawake wetu laini laini akigongwa kwa haya maumivu ninayoyahisi na ugangwe wangu,hawa viumbe si ndio watazimia kabisa na kwenda hospital kulazwa?tukumbushane kukung`uta viatu wazee,maana mimi nimekutana nae kwenye kiatu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom