Nimegombana na rafiki yangu kwa kuniita "MKURYA" mbele za watu

okonkwo jr

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
2,419
1,737
Amani ya bwana itawale kwenu wapendwa,

tujikumbushe kidogo enzi za mwalimu JK Nyerere,Mwalimu alikuwa mstari wa mbele kupinga ukabira pia kumuita mtu kwa kabira lake kama ndo jina lake,mfano we "msukuma njoo hapa" wakati mtu anajua jina lako kamili,

leo hii nikiwa matembezini kwa mbari rafiki yangu ariniita kwa kabila langu mbele za watu,"we mkurya njoo hapa",kwa kweli jambo hiri rinikera sana ukizingatia niko mikoa ya watu ambapo mtu akisikia neno mkurya picha inayomjia kichwani mwake ni mapanga na mishare,pia mimi nilishajitamburisha kwa watu kama msukuma,na watu wote wanajua mimi msukuma ,kwa kweri sikupenda na hivyo nirimkanya jamaa asirudie jambo hiri,kwani rilipelekea kuzua tafrani na watu wote kuanza kuniangaria mimi,

je wapendwa wangu nirikuwa sahihi au nimawazo yangu tu ndo yamepelekea kujinyanyapaa?
 
Amani ya bwana itawale kwenu wapendwa, Mwalimu alikuwa mstari wa mbele kupinga ukabira pia kumuita mtu kwa kabira lake kama ndo jina lake, mfano we "msukuma njoo hapa" wakati mtu anajua jina lako kamili,

leo hii nikiwa matembezini kwa mbari rafiki yangu ariniita kwa kabila langu mbele za watu,"we mkurya njoo hapa", kwa kweli jambo hiri rinikera sana. kwa kweri sikupenda na hivyo nirimkanya jamaa asirudie jambo hiri, kwani rilipelekea kuzua tafrani na watu wote kuanza kuniangaria mimi, pia mimi nilishajitamburisha kwa watu kama msukuma

je wapendwa wangu nirikuwa sahihi au nimawazo yangu tu ndo yamepelekea kujinyanyapaa?

Yaani wewe kweli Mkurya, tena usiye na maendeleo kabisa (uncultured). Kupigana na rafiki yako kwa kukuita Mkurya ni ujima wa hali ya juu. Na pia unamtumia Nyerere vibaya. Kwa sababu zako binafsi unalionea aibu kabila lako hadi unajitambulisha kwa kabila jingine, kuwa wewe Msukuma. Ina maana rafiki yako angekuita we Msukuma ungekasirika? Ungefurahi sivyo? Sasa kumbe issue sio ukabila bali wewe kuliona kabila la Wakurya halifai. Unapaswa utengwe na jamii yote ya Wakurya. Shame man!

Na usitamke amani ya Bwana itawale kwetu, iache itawale kwako mwenyewe kwanza ujue kuishi na watu.
 
Amani ya bwana itawale kwenu wapendwa,

tujikumbushe kidogo enzi za mwalimu JK Nyerere,Mwalimu alikuwa mstari wa mbele kupinga ukabira pia kumuita mtu kwa kabira lake kama ndo jina lake,mfano we "msukuma njoo hapa" wakati mtu anajua jina lako kamili,

leo hii nikiwa matembezini kwa mbari rafiki yangu ariniita kwa kabila langu mbele za watu,"we mkurya njoo hapa",kwa kweli jambo hiri rinikera sana ukizingatia niko mikoa ya watu ambapo mtu akisikia neno mkurya picha inayomjia kichwani mwake ni mapanga na mishare,pia mimi nilishajitamburisha kwa watu kama msukuma,na watu wote wanajua mimi msukuma ,kwa kweri sikupenda na hivyo nirimkanya jamaa asirudie jambo hiri,kwani rilipelekea kuzua tafrani na watu wote kuanza kuniangaria mimi,

je wapendwa wangu nirikuwa sahihi au nimawazo yangu tu ndo yamepelekea kujinyanyapaa?
" ukabira,
kabira,
mbari,
ariniita,
hiri,
rinikera,
mishare,
nilishajitamburisha,
nirimkanya,
asirudie,
hiri,
rilipelekea,
tafrani,
kuniangaria,

" hivi wewe mkurya kwa nini umetuharibia hayo maneno kwenye uzi wako wa kikurya!
 
Tatizo iko wapi mkuu?
 
Yaani unamind wakato kakusifia mkuu unalitakaa kabila lako......mm ni MKURYA na nikiitwa hvyo nafurahi sana
 
Amani ya bwana itawale kwenu wapendwa,

tujikumbushe kidogo enzi za mwalimu JK Nyerere,Mwalimu alikuwa mstari wa mbele kupinga ukabira pia kumuita mtu kwa kabira lake kama ndo jina lake,mfano we "msukuma njoo hapa" wakati mtu anajua jina lako kamili,

leo hii nikiwa matembezini kwa mbari rafiki yangu ariniita kwa kabila langu mbele za watu,"we mkurya njoo hapa",kwa kweli jambo hiri rinikera sana ukizingatia niko mikoa ya watu ambapo mtu akisikia neno mkurya picha inayomjia kichwani mwake ni mapanga na mishare,pia mimi nilishajitamburisha kwa watu kama msukuma,na watu wote wanajua mimi msukuma ,kwa kweri sikupenda na hivyo nirimkanya jamaa asirudie jambo hiri,kwani rilipelekea kuzua tafrani na watu wote kuanza kuniangaria mimi,

je wapendwa wangu nirikuwa sahihi au nimawazo yangu tu ndo yamepelekea kujinyanyapaa?

Wewe mkuria tena wa tarime,mkuriaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...... Tena wewe ni mkuria tena wa shambani kabisa
 
Amani ya bwana itawale kwenu wapendwa,

tujikumbushe kidogo enzi za mwalimu JK Nyerere,Mwalimu alikuwa mstari wa mbele kupinga ukabira pia kumuita mtu kwa kabira lake kama ndo jina lake,mfano we "msukuma njoo hapa" wakati mtu anajua jina lako kamili,

leo hii nikiwa matembezini kwa mbari rafiki yangu ariniita kwa kabila langu mbele za watu,"we mkurya njoo hapa",kwa kweli jambo hiri rinikera sana ukizingatia niko mikoa ya watu ambapo mtu akisikia neno mkurya picha inayomjia kichwani mwake ni mapanga na mishare,pia mimi nilishajitamburisha kwa watu kama msukuma,na watu wote wanajua mimi msukuma ,kwa kweri sikupenda na hivyo nirimkanya jamaa asirudie jambo hiri,kwani rilipelekea kuzua tafrani na watu wote kuanza kuniangaria mimi,

je wapendwa wangu nirikuwa sahihi au nimawazo yangu tu ndo yamepelekea kujinyanyapaa?
Kwa unadishi huo hata mimi ningekuita mkurya.
Kabira
Rinikera
Mishare
Nirimkanya
Hiri
Rilipelekea
Kuniangaria.
 
Amani ya bwana itawale kwenu wapendwa,

tujikumbushe kidogo enzi za mwalimu JK Nyerere,Mwalimu alikuwa mstari wa mbele kupinga ukabira pia kumuita mtu kwa kabira lake kama ndo jina lake,mfano we "msukuma njoo hapa" wakati mtu anajua jina lako kamili,

leo hii nikiwa matembezini kwa mbari rafiki yangu ariniita kwa kabila langu mbele za watu,"we mkurya njoo hapa",kwa kweli jambo hiri rinikera sana ukizingatia niko mikoa ya watu ambapo mtu akisikia neno mkurya picha inayomjia kichwani mwake ni mapanga na mishare,pia mimi nilishajitamburisha kwa watu kama msukuma,na watu wote wanajua mimi msukuma ,kwa kweri sikupenda na hivyo nirimkanya jamaa asirudie jambo hiri,kwani rilipelekea kuzua tafrani na watu wote kuanza kuniangaria mimi,

je wapendwa wangu nirikuwa sahihi au nimawazo yangu tu ndo yamepelekea kujinyanyapaa?
Hata mimi nakuita hivyo.
 
Back
Top Bottom