Nimeghairi kutafuta mchumba kwenye safu hii. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeghairi kutafuta mchumba kwenye safu hii.

Discussion in 'Love Connect' started by Master detectie, Mar 7, 2011.

 1. M

  Master detectie Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
   
 2. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Duh!! pole kaka!!!!!!!!!!!!!! yepi yamekusibu???????
   
 3. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  pole kwa yote yaliyokusibu. nasikitika umechelewa kujua kuwa mchumba hatafutwi bali hukutana naye! mchumba wako yuko mongoni mwa watu uliokwishakutana nao, jaribu kufungua macho na mdomo wako na utampata. ukishindwa niPM kwa maelezo zaidi.

  otherwise, tell us if you want to rest in pieces

  stay blessed

  Glory to God
   
 4. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hili jukwaa siyo la kutafuta wachumba, ukitaka wachumba na wauza sura nenda kule facebook na kwingineka kama huko. ukiwa na hija ushauri endelea nasi hapa jukwaani
   
 5. JS

  JS JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pole weeeeeee....tuambie basi yamekutokea yepi?
   
 6. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  jamani nanukuu maneno yake kwenye thread yake aliyokuwa anatafutia mwenza "Wandugu mimi nimejitokeza kutafuta mchumba kwny safu hii nikiwa na nia ya dhati, lakini wengine munachukulia masikhara! Acheni basi mzaha. Kwa anayedhani yuko serious tuchat kwa 0752 539979."

  kwa hali hii nani angejitokeza?
  hana jinsia wala nini!!!!
  duh
   
 7. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kumbe hakuweka hata vigezo ye anaandika tu, huwezi jua kama ni mwanume, mwanamke, dada/kaka poa nk then useme unataka mtu wa vigezo gani, pole sana yawezekana ulikuwa na uelewa mdogo wa jf uliingia kwa pupa bila kusoma ramani
   
 8. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dr umeona eeh!!!! then analalamika!!
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Wewe kwenye thread yako hukuweka jinsia wala kitu chochote tungejitokezaje?/

  Pole sana kwa yaliyokukuta
   
 10. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Well said miss judith
  The Following User Says Thank You to Miss Judith For This Useful Post:

  Maty (Today) ​
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kumbe na wewe uliona hilo hakuna maelezo ya kina watu tungejitokezaje sasa??? Suzy hujambo wewe
   
 12. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dena mie mzima wa afya tele mpenzi.
   
 13. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,467
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Amegundua kosa lake
   
 14. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hata mie nahisi kuwa amegundua kosa lake!!! kakimbia haonekani!! lazima alikua mzamiaji huyu!!

  HATUDANGANYIKIIIIIIII
   
 15. LD

  LD JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dah
  Haya bwana, maisha ndo haya..........
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  duh kakutana na manyoya ya salenda au vp
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Kama kujichoresha ushajichoresha na unazidi kujichoresha.
  Safari njema huko utakapoenda kutafuta.
   
 18. herrypeter1

  herrypeter1 JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 17, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We unaisi unachelewa kupendwa,
  wapo walio serious wenye kukupenda,
  fikiri mara mbili fungua macho utawaona,
  kati ulio nao anawaza kukupata,
  ni mengi utabaini utajua ukifunguka kwa wale wote unaowajua........................
   
 19. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Wachumba hawatafutwi kama commodities. At least umelearn.
   
 20. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nashukuru umezingatia ushauri wangu.hata huko facebook itakubidi upunguze uvivu wa kujieleza.changamsha domo bana!
   
Loading...