Nimeghadhibishwa na uhuni wa Mashimo dhidi ya bwana Sudi Salum

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,088
Huyu mtu ambae baadhi humtambua kama mchungaji, ambae anaongea kwa kipaza sauti kituo cha mabasi mbezi, nimeona video yake akimshika mkono kwa nguvu Ndugu Sudi Salum kwa kigezo cha kutaka kumfanya aikoke, licha ya kua ndugu Sudi alisisitiza kua hataki lakin Mashimo aling'ang'ania mkono wake kwanguvu, wengi wameshare video ile kama kitu cha kuchekesha ila binfsi naona ni udhalilishaji na kiburi alichonacho huyu jamaa.

kuna vitu vingi vinaaweza kudababisha shida, let say bwana Sudi katika kujihami kutokana na umbo lake dogo ukiringanisha la la Mashimo, akatoa hata kisu, utasema Sudi Salum ni mkorofi?

Na kwanini utangaze injili kwa ubabe? Nani anampa jeuri Mashimo? Watoto au ndugu wa Sudi Salum wanaweza kulichukuliaje?

Nadhani ni wakati husika mamlaka kuondoa hawa watu, wanaweza kuleta matatizo makubwa, waende wakafanye kazi hizi makanisani
 
Una sugar-coat the same way America attribute white supremist to mental history, km ni chizi serikali imtoe pale atajaingia kwa mtu ajute
 
Tuwekee hako ka video mkuu...lakini kusema kweli siyo jambo la kistaarabu..
 
Back
Top Bottom