Nimefuta namba zake zote

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
616
548
Kuna msichana niliingia nae kwenye mahusiano kama miezi sita iliyopita na najitahidi kumtatulia shida zake kadri ya uwezo wangu.Yeye hana chakunipa zaidi ya papuchi tu sababu hana ajira na hata kama angekua nayo binafsi huwa sipendi kumuomba mtoto wa kike pesa hata kama nina shida na najua ana mshahara.

Kwa siku chache za hivi karibuni amekua na tabia ya kukaa kimya kama hayupo, kusalimia asubuhi mpaka nianze mimi na nisipofanya hivyo na yeye anakaa kimyaaaa Ila nikitaka kumuacha ni mwepesi sana wa kujitetea na kuomba msamaha.

Leo nimeamua kufuta namba zake zooooote za simu ili nisishawishike kumtafuta sababu kwa upande wangu sina tabia ya kukariri namba za simu za mpenzi wangu, zikiwepo tu kwenye phone book inatosha sana.Nimeamua kufanya hivi ili nimuache mazima.

Je nitakua nimefanya kosa kufuta namba zake ?
 
Mkuu rejea content ya uzi hapo juu.Sina kawaida ya kukariri namba ya msichana.
Lakini km sio jamii ya wale wanawake kupe unaweza kushinda hii vita.lakini km anapenda kuganda atakutia majaribu sana!itakusaidia km mko mbalimbali na access ya kukupata we ni ngumu.otherwise atasumbua hadi siku akute uko na dem mwingine ndo ataamua kukaa mbali na ww
 
Ngoja na mimi nifute kumbe ndo dawa ya watu wenye tabia ya huyo dada.
 
Back
Top Bottom