Nimefurahishwa na Ujio wa Rais wa Zanzibar kanisani kwetu ijapokuwa mama shein alikosekana.

Black Jesus

JF-Expert Member
Mar 7, 2008
256
9
Nilipata faraja kwa mara ya kwanza katika historia ya Zanzibar kumuona Rais wetu Rais shein(1).jpg amehudhuria katika shuhuli zetu tunakushuru kwa kuitikia witowetu pia tungefurahiwa zaidi uwepo wa mama shien kama ulivyokuwa uwepo wa Rais mkapa na mama mkapa

 
Back
Top Bottom