Nimefurahishwa na matokeo ya leo,ila msimamo upo palepale......?

Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,096
708
Simba leo wamenifanya nifurahi kwa kumfunga Yanga wazeew wa mpira wa magazetini.Kiburi chote leo yanga kimewaisha.

Ila msimamo wangu upo palepale kuwa nitarudi kuishabikia Simba pale Rage atakapoondoka Simba,haya matokeo ya leo yasiwarudishe nyuma wana Simba wakasahau agenda yetu ya kumng'oa Rage pale Msimbazi
 
Suala la Okwi kutua Yanga lisingejitokeza pengine angeweza kupona, lakini ukijumlisha la Okwi, kejeri zake, la Kapombe nalo halieleweki vizuri, Utata wa Yondani na Twite, hela za Samatta na Ochani, kusajiri Dhaira akamwachia Okwi kwa mali kauli, sidhani kama atafika januari ataondoka, watu wameachia uwaziri yeye anashindwa nini kutuachia timu yetu.
 
lazima aondoke huyu mtu
 
Inaonekana leo Rage aliroga sana kuokoa nafasi yake
 
hii mechi rage hajahusika chochote aliombea simba ifungwe apate cha kuongea lakini ndio kakosa na cheki ameipokea mzee wa kinesi na pia tumeona kaburu alivyokua karibu na timu hii inaonyesha rage hana kitu
 
Back
Top Bottom