Nimefurahishwa na kazi nzuri ya kijana mdogo wa kitanzania tumuunge mkono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimefurahishwa na kazi nzuri ya kijana mdogo wa kitanzania tumuunge mkono

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Elizaa, Jun 13, 2012.

 1. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  NAPENDA KUMPA HONGERA HUYU KIJANA MDOGO WA KITANZANIA ALIWEKA HILI DUKA HAPO KWENYE LANGO LA KWENDA ULAYA. YAANI KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT ( KIA) UNAWEZA KUTEMBELEA BLOG YAKE KIA GALLERY & CURIO
   

  Attached Files:

 2. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Mkuu mbona hatumuoni huyo kijana wa kitanzania?? Bei zake kwa wastani zikoje?? Nasema hivyo kwa sababu sisi watanzania wenyewe tunasababisha kutopewa support kutoka kwa wazawa kwa kuweka bei za juu na kuwalenga zaidi watalii wa nje..Jaribuni kuweka bei za wazawa na wageni kama nchi za wenzetu walioendelea wanavyofanya. Pia nauliza huo kijana ana vibali vya kufanya hiyo biashara hayo maeneo aliyopo ili tuje kumsapoti??
   
 3. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Karibu ndugu yangu, nitaweka picha yake very soon utamuona, bei ni za kawaida kabisa na zinzwezekana kwa mtanzania wa kawaida, Unakaribishwa sana.
   
 4. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  huyo babu wa kiarabu au kihindi au kizungu ndiyo kijana mdogo wa kitanzania?
   
 5. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani kwani huyo ni Kijana, we mwenyewe umeshasema babu, nitaweka picha ya huyo kijana, pia unaweza kutembelea hapo kwenye hilo duka, huyo ni mgeni tu.
   
 6. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nampa hongera kwa kuthubutu....!!!
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  hongera zako mkuu. mia
   
 8. u

  ureni JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,273
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Unasema kijana mdogo halafu unaweka picha ya babu
   
 9. jumbenylon

  jumbenylon Senior Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu Curio si kijana! Ni mzee wa makamo! Pia ni Rasta, ana duka jingine pia moshi mjini maeneo ya kindoroko!!! Yupo safi
   
 10. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Chezea bongo wewe! WAtu watanunua kama wazawa then wanaenda kuwauzia wazungu
   
 11. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umefurahishwa na kazi yake au unampigia debe kibiashara? Umeruhusiwa kutoa tangazo humu?
   
 12. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Kwani umeona ukisema ni wewe kuna shida gani?.....!
   
Loading...