Nimefurahishwa jinsi skauti walivyokuwa wanafanya duara kuzuia watu wakati wa ziara ya JK sabasaba

mbeyaman

Member
Sep 28, 2013
97
28
Hawa vijana wa skauti kuanzia miaka 13 mpaka 18 wameonesha uzalendo wa hali ya juu wakati wa ziara ya rais Jakaya Kikwete katika viwanja vya sabasaba leo tarehe 5/07/2014.Walikuwa katika makundi mawili,wenye mavazi ya khaki na wale wa mavazi meusi.

Wamesaidia kwa kiasi kikubwa kuweka utaratibu wa ulinzi wakati rais alipokuwa ndani ya mabanda mbalimbali ya biashara.Staili yao ya
kuweka duara kubwa lilojumuisha vijana zaidi ya 50 nimeipenda sana.Vijana hawa wakiandaliwa vizuri watatoa mchango mkubwa kwa
taifa letu kwani wana uzalendo wa hali ya juu.

Ni vyema skauti watumiwe katika ulinzi wa viongozi mbalimbali wa kitaifa.Wakati umefika wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama mikoa yote wawatumie skauti katika ulinzi wa viongozi wa kitaifa.
 
Ngoja utasikia na wabunge wakisema na sie tunataka ulinzi wa skauti.
 
.

Khaki ni Scout, Black ni IOGT.

kama umepita huku utajua habari za "Yogo yogo, yogo yogo yogoo yogoo"
 
Hawa vijana wa skauti kuanzia miaka 13 mpaka 18 wameonesha uzalendo wa hali ya juu wakati wa ziara ya rais Jakaya Kikwete katika viwanja vya sabasaba leo tarehe 5/07/2014.Walikuwa katika makundi mawili,wenye mavazi ya khaki na wale wa mavazi meusi.

Wamesaidia kwa kiasi kikubwa kuweka utaratibu wa ulinzi wakati rais alipokuwa ndani ya mabanda mbalimbali ya biashara.Staili yao ya
kuweka duara kubwa lilojumuisha vijana zaidi ya 50 nimeipenda sana.Vijana hawa wakiandaliwa vizuri watatoa mchango mkubwa kwa
taifa letu kwani wana uzalendo wa hali ya juu.

Ni vyema skauti watumiwe katika ulinzi wa viongozi mbalimbali wa kitaifa.Wakati umefika wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama mikoa yote wawatumie skauti katika ulinzi wa viongozi wa kitaifa.

Mwenye uniform wnyeus mmoja wapo anaonekana hapo
 
Attachments

  • 1404598815747.jpg
    1404598815747.jpg
    77.5 KB · Views: 771
Ngoja utasikia na wabunge wakisema na sie tunataka ulinzi wa skauti.

Ili kufanikisha hilo lazima kuwepo mpango mkakati wa kuwaandaa watoto kua maskauti,na iwe skaut ya kwa mujibu wa sheria kama ilivyo jkt.
mtoto akimaliza darasa la saba ni lazima apitie skaut kwa mujibu wa sheria kabla hajaingia kidato cha kwanza. khofu yangu nyie watanzania mnavyojua kuchonga mtasema watoto wenu wanateswa na kunyweshwa uji uliochanganywa na mikojo huko ktk mafunzo ya skauti.
 
Back
Top Bottom