Hawa vijana wa skauti kuanzia miaka 13 mpaka 18 wameonesha uzalendo wa hali ya juu wakati wa ziara ya rais Jakaya Kikwete katika viwanja vya sabasaba leo tarehe 5/07/2014.Walikuwa katika makundi mawili,wenye mavazi ya khaki na wale wa mavazi meusi.
Wamesaidia kwa kiasi kikubwa kuweka utaratibu wa ulinzi wakati rais alipokuwa ndani ya mabanda mbalimbali ya biashara.Staili yao ya
kuweka duara kubwa lilojumuisha vijana zaidi ya 50 nimeipenda sana.Vijana hawa wakiandaliwa vizuri watatoa mchango mkubwa kwa
taifa letu kwani wana uzalendo wa hali ya juu.
Ni vyema skauti watumiwe katika ulinzi wa viongozi mbalimbali wa kitaifa.Wakati umefika wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama mikoa yote wawatumie skauti katika ulinzi wa viongozi wa kitaifa.