Nimefurahi kukutana na Gentamycine

Aisee!! Yaani kila nilivyozidi kusoma posts nimejikuta naangua kicheko. Lol
 
Ni summarizes kwa kusema We jamaa unapenda sifa
Sasa kama niko Knowledgeable, Educated, well Informed na nina Exposure kidogo ya kuwa katika Mataifa kadhaa na 24/7 nazungukwa na Watu very Intelligent huku pia nikiwa nimelelewa na Kukulia kwa some Head of States na Senior Officials wa East, South and Central Africa kwanini GENTAMYCINE nisiwe Mjuvi wa Masuala na Mambo mengi hapa Tanzania, nje ya Tanzania na hata Duniani?

Huu muda ambao umeupoteza hapa Kusema kuwa ninapenda mno Sifa ungeutumia Kumpigia Magoti Mwenyezi Mungu ili nae akubariki kama alivyonibariki Mimi GENTAMYCINE na kuwa 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' kusengekuwa na Faida Kwako?

Pumbavu...!!!
 
Back
Top Bottom