Nimefungua biblia huku nimefumba macho huu ndio mstari wa kwanza kukutana nao

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Usimnyang'anye maskini, kwa kuwa ni maskini; Wala usimdhulumu mtu mnyonge langoni;
Kwa sababu Bwana atawatetea; Naye atawateka uhai wao waliowateka.
Mithali 22:22-23

Don’t take advantage of the poor just because you can; don’t take advantage of those who stand helpless in court. The Lord will argue their case for them and threaten the life of anyone who threatens theirs.
(Proverbs 22:22-23)
 
Unayatafuta ya Lema !! Anyways nice mistari
mkuu hii haina uhusiano na siasa,
Nimejifunza tu kuwa maskini wapo duniani na hatupaswi kuwatumia kama ngazi ya kujinufaisha kama walivyotufanyia wazungu, maana watu wote ni wa Mungu na Mungu anatupenda sote.

Kama kila kitu kinahusishwa na siasa basi watuwekee option ya kudelete accounts ili tuachane na mitandao maana kuna maisha nje ya social media mkuu.
 
Back
Top Bottom