Wabongo kwa kulalamika!sasa hapo kinachokutia wasiwasi ni nin?[ kwanini wamefunga jumapili huo ndo wasiwas
Wabongo kwa kulalamika!sasa hapo kinachokutia wasiwasi ni nin?[ kwanini wamefunga jumapili huo ndo wasiwas
Uliwaita wewe au wamekuja wenyewe?kama umewaita basi hao ni makanjanja,lakini kama wamekujwa wenyewe na ulishamaliza kulipa garama zote usitie shaka best,kula umeme taratibu.usizidi unit 50 kwa mwezi utakuwa na matumizi mazuri kwa mwezi.
Jamani nimeunganishwa umeme jumapili ya leo je ni sawa kwa wao kufanya hivyo jumapili?
Uliwaita wewe au wamekuja wenyewe?kama umewaita basi hao ni makanjanja,lakini kama wamekujwa wenyewe na ulishamaliza kulipa garama zote usitie shaka best,kula umeme taratibu.usizidi unit 50 kwa mwezi utakuwa na matumizi mazuri kwa mwezi.[WALIKUJA WENYEWE!
Uliwaita wewe au wamekuja wenyewe?kama umewaita basi hao ni makanjanja,lakini kama wamekujwa wenyewe na ulishamaliza kulipa garama zote usitie shaka best,kula umeme taratibu.usizidi unit 50 kwa mwezi utakuwa na matumizi mazuri kwa mwezi.[WALIKUJA WENYEWE! ILA NILIOMBA KUFUNGIWA UMEME, KINACHONITATIZA NI KWANN JUMAPILI.
Sasa si ushukuru Mungu we umefungiwa hata hiyo jumapili wenzio wemesubiri mpaka wamechoka.kwani umeme si unawaka au ?[NDIO UNAWAKA.
Umeme hauwaki au unawaka??? Waambie waje kukata kama unadhani ni batili.Jamani nimeunganishwa umeme jumapili ya leo je ni sawa kwa wao kufanya hivyo jumapili?
Umeme hauwaki au unawaka??? Waambie waje kukata kama unadhani ni batili.[/ unawaka ndugu nilihofia ni vishoka.
hili ndio la muhimu....unawaka hauwaki......?
na kama ingekuwa ni tatizo.....je ungesubiri mpaka jumatatu...?
Tanesco wapo wakati wote.......
Jamani nimeunganishwa umeme jumapili ya leo je ni sawa kwa wao kufanya hivyo jumapili?
ulitaka wakuweka pending[ HAPANA!