Nimefunga kwa ajili ya Taifa stars

Mzuka wanajamvi!

Kwaanzia usiku huu hadi kesho jioni nimefunga kwa ajili ya timu yetu pendwa ya taifa stars ishinde mechi zake zote zilizo salia na ifuzu kombe la dunia. Sitakula, kunywa wala kuvuta hadi kesho jioni.
Unajitesa tu hatuna kikosi
 
Acha chuki za kisoro wewee. Taifa Stars siyo CCM uichukie!
Daah utadhani upo daslm eti kisoro umefanya jambo jema sana Mkuu mm ntafunga kesho Mkuu ntanuia leo usiku...tatizo la Tanzania wengi hawapendi maendeleo ya Taifa na wachezaji binafsi wanapenda kuona wote tukikuna nazi Mbagala..
 
Nahisi hapa alietuletea dini alitumezesha tango pori. Sitaki kukukatisha tamaa na jambo ulifanyalo ila hiyo siyo kazi ya dini.
 
Mzuka wanajamvi!

Kwaanzia usiku huu hadi kesho jioni nimefunga kwa ajili ya timu yetu pendwa ya taifa stars ishinde mechi zake zote zilizo salia na ifuzu kombe la dunia. Sitakula, kunywa wala kuvuta hadi kesho jioni.
narudia tena MUNGU HAJAWAHI SIKILIZA MAOMBI YA MPIRA WA MIGUU.😇🤑
 
Back
Top Bottom