Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,834
Habarini?
Sina maelezo sana maana nina moyo wenye uchungu sana na machozi yakinilengalenga,naenda straight to the point...
Kutokana na mgao wa umeme unaoendelea nchini nimelazimika kufunga maduka yangu ya samaki kadhaa ambayo nilijiwekeza Hapa mjini( Toka mwaka 2016).
Mwanzoni nilijitahidi kukomaa kukodi majenereta kwa watu ili friji ziwe "ON" muda wote na biashara iendelee matokeo yake Gharama za uendeshaji mabucha haya ni za juu kuliko faida inayoingiiaa ...nimepambanaaa weee lkn wakuu nimeshindwa na sasa NIMEFUNGA RASMI.
Niliajiri vijana kadhaa, sasa wameenda home na sijui wataiishije ,mbaya zaidi nilikuwa na mkopo wa milion 5 toka TAASISI YA KIFEDHA (jina kapuni) na sijui itakuwaje.
Hivi karne hii kuna nchi inaweza kuendelea huku kuna mgao wa umeme ambao ni kiungo kwa ukuaji wa uchumi (siamini)?
Kuna rafiki yangu kanambia nisijisumbue na baishara ya inayotegemea umeme kwa sasa mpaka pale faida za jamaa zirudi (Sina uhakika na hili nahisi ni uongo).
Kukodi jenereta dogo ni 10,000 kwa siku ,(Mafuta juu yako) Natumia mafuta ya 10,000 jumla ni 20,000 bado nilipe wafanyakazi , wafanya usafi, kodi ya jengo, ushuru wa nyama na etc.
20,000 kwa mwezi ni 600,000 (Just imagine)
SINA CHUKI, SINA UBAGUZI WA KISIASA, WALA SINA CHAMA
Ila nilikuwa siyo mfuasi wa JPM ila kwa hili hakika yule jamaa ni MWAMBA na MWAMBA Kweli R.I.P
NAMALIZIA KWA KUSEMA
Sijui siasa na sijawahi kufatilia sana ila hata mtoto mdogo anajua kuwa sirikali imefeli pabaya