Nimefunga bucha la samaki, Tatizo ni umeme

Riyan

Member
Nov 10, 2021
18
125
Habarini?

Sina maelezo sana maana nina moyo wenye uchungu sana na machozi yakinilengalenga,naenda straight to the point...

Kutokana na mgao wa umeme unaoendelea nchini nimelazimika kufunga maduka yangu ya samaki kadhaa ambayo nilijiwekeza Hapa mjini( Toka mwaka 2016).

Mwanzoni nilijitahidi kukomaa kukodi majenereta kwa watu ili friji ziwe "ON" muda wote na biashara iendelee matokeo yake Gharama za uendeshaji mabucha haya ni za juu kuliko faida inayoingiiaa ...nimepambanaaa weee lkn wakuu nimeshindwa na sasa NIMEFUNGA RASMI.

Niliajiri vijana kadhaa, sasa wameenda home na sijui wataiishije ,mbaya zaidi nilikuwa na mkopo wa milion 5 toka TAASISI YA KIFEDHA (jina kapuni) na sijui itakuwaje.

Hivi karne hii kuna nchi inaweza kuendelea huku kuna mgao wa umeme ambao ni kiungo kwa ukuaji wa uchumi (siamini)?

Kuna rafiki yangu kanambia nisijisumbue na baishara ya inayotegemea umeme kwa sasa mpaka pale faida za jamaa zirudi (Sina uhakika na hili nahisi ni uongo).

Kukodi jenereta dogo ni 10,000 kwa siku ,(Mafuta juu yako) Natumia mafuta ya 10,000 jumla ni 20,000 bado nilipe wafanyakazi , wafanya usafi, kodi ya jengo, ushuru wa nyama na etc.

20,000 kwa mwezi ni 600,000 (Just imagine)

SINA CHUKI, SINA UBAGUZI WA KISIASA, WALA SINA CHAMA

Ila nilikuwa siyo mfuasi wa JPM ila kwa hili hakika yule jamaa ni MWAMBA na MWAMBA Kweli R.I.P

NAMALIZIA KWA KUSEMA

Sijui siasa na sijawahi kufatilia sana ila hata mtoto mdogo anajua kuwa sirikali imefeli pabaya
 
las Casas

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
509
1,000
Pole sana mkuu, huku Chugga Kuna bucha jumatatu ya wiki hii ambalo huwa nafanya manunuzi ya 🐠🐟 nimekuta limefungwa mchana na sio kawaida kufungwa na nikauliza kwa majirani nikaambiwa tatizo umeme 😡
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
5,387
2,000
Aisee nunua genereta kazi iendelee. Upo mkoa gani labda naweza kukusaidia kupata jenereta la umeme wa kutosha kwenye bucha yako
Kuna majenereta ya 15kva mpaka 800 kva 🐒
 
Drifter

JF-Expert Member
Jan 4, 2010
3,255
2,000
Habarini?

Sina maelezo sana maana nina moyo wenye uchungu sana na machozi yakinilengalenga,naenda straight to the point...

Kutokana na mgao wa umeme unaoendelea nchini nimelazimika kufunga maduka yangu ya samaki kadhaa ambayo nilijiwekeza Hapa mjini( Toka mwaka 2016).

Mwanzoni nilijitahidi kukomaa kukodi majenereta kwa watu ili friji ziwe "ON" muda wote na biashara iendelee matokeo yake Gharama za uendeshaji mabucha haya ni za juu kuliko faida inayoingiiaa ...nimepambanaaa weee lkn wakuu nimeshindwa na sasa NIMEFUNGA RASMI.

Niliajiri vijana kadhaa, sasa wameenda home na sijui wataiishije ,mbaya zaidi nilikuwa na mkopo wa milion 5 toka TAASISI YA KIFEDHA (jina kapuni) na sijui itakuwaje.

Hivi karne hii kuna nchi inaweza kuendelea huku kuna mgao wa umeme ambao ni kiungo kwa ukuaji wa uchumi (siamini)?

Kuna rafiki yangu kanambia nisijisumbue na baishara ya inayotegemea umeme kwa sasa mpaka pale faida za jamaa zirudi (Sina uhakika na hili nahisi ni uongo).

Kukodi jenereta dogo ni 10,000 kwa siku ,(Mafuta juu yako) Natumia mafuta ya 10,000 jumla ni 20,000 bado nilipe wafanyakazi , wafanya usafi, kodi ya jengo, ushuru wa nyama na etc.

20,000 kwa mwezi ni 600,000 (Just imagine)

SINA CHUKI, SINA UBAGUZI WA KISIASA, WALA SINA CHAMA

Ila nilikuwa siyo mfuasi wa JPM ila kwa hili hakika yule jamaa ni MWAMBA na MWAMBA Kweli.R.I.P

NAMALIZIA KWA KUSEMA

Sijui siasa na sijawahi kufatilia sana ila hata mtoto mdogo anajua kuwa sirikali imefeli pabaya

Usingeandika hiyo aya ya mwisho. Watu hawataji wasichokijua au kukitilia maanani.
 
hometown

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
470
500
To the point nashikiria pale pale naposhikiriaga!
WATANZANIA TUSIWE VICHWA MAJI,ETI UMEZALIWA UMEIKUTA CCM NASI UTAKI KUIACHA,HUU NI UJINGA NA TUNAONEKANA WAJINGA ZAIDI KWENYE MATAIFA MENGINE,
UCHAGUZI UKIJA BORA KUCHAGUA HATA JIWE KULIKO CCM,HAWA WAMEKWISHA VIMBA KICHWA KUWA WAO WATAONGOZA MILELE,MSITARAJIE HUDUMA BORA KUTOKA KWAO,WATATENGENEZA MATATIZO KISHA WATAYATATUA ARAFU WATZ MTASHANGILIA ,HAPO HAKUNA KUSONGA MBELE,YAAN KAMA HATUA ZA MLEVI,MBELE KIDOGO NYUMA SAAANA.

TOWENI HIKI CHAMA MADARAKANI,WAKAJIPANGE UPYA PEMBENI,HATA WATAKAO INGIA MCHEZO UWE UWO UWO
 
Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
8,523
2,000
Habarini?

Sina maelezo sana maana nina moyo wenye uchungu sana na machozi yakinilengalenga,naenda straight to the point...

Kutokana na mgao wa umeme unaoendelea nchini nimelazimika kufunga maduka yangu ya samaki kadhaa ambayo nilijiwekeza Hapa mjini( Toka mwaka 2016).

Mwanzoni nilijitahidi kukomaa kukodi majenereta kwa watu ili friji ziwe "ON" muda wote na biashara iendelee matokeo yake Gharama za uendeshaji mabucha haya ni za juu kuliko faida inayoingiiaa ...nimepambanaaa weee lkn wakuu nimeshindwa na sasa NIMEFUNGA RASMI.

Niliajiri vijana kadhaa, sasa wameenda home na sijui wataiishije ,mbaya zaidi nilikuwa na mkopo wa milion 5 toka TAASISI YA KIFEDHA (jina kapuni) na sijui itakuwaje.

Hivi karne hii kuna nchi inaweza kuendelea huku kuna mgao wa umeme ambao ni kiungo kwa ukuaji wa uchumi (siamini)?

Kuna rafiki yangu kanambia nisijisumbue na baishara ya inayotegemea umeme kwa sasa mpaka pale faida za jamaa zirudi (Sina uhakika na hili nahisi ni uongo).

Kukodi jenereta dogo ni 10,000 kwa siku ,(Mafuta juu yako) Natumia mafuta ya 10,000 jumla ni 20,000 bado nilipe wafanyakazi , wafanya usafi, kodi ya jengo, ushuru wa nyama na etc.

20,000 kwa mwezi ni 600,000 (Just imagine)

SINA CHUKI, SINA UBAGUZI WA KISIASA, WALA SINA CHAMA

Ila nilikuwa siyo mfuasi wa JPM ila kwa hili hakika yule jamaa ni MWAMBA na MWAMBA Kweli R.I.P

NAMALIZIA KWA KUSEMA

Sijui siasa na sijawahi kufatilia sana ila hata mtoto mdogo anajua kuwa sirikali imefeli pabaya
Wewe ni mfuasi wa chama cha mapinduzi, acha kuona haya.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,773
2,000
🐒🐒🐒
imgvfdage12.png
 
Vicenza

JF-Expert Member
Oct 5, 2019
647
1,000
umeme ni tatizo kila mahali na sijaelewa bado kwa nn wanasema et kila mkoa unatakiwa uwe na viwanda mia hapa ndio nashangaa
sijui ivyo viwanda vitatumia upepo au.
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,345
2,000
Habarini?

Sina maelezo sana maana nina moyo wenye uchungu sana na machozi yakinilengalenga,naenda straight to the point...

Kutokana na mgao wa umeme unaoendelea nchini nimelazimika kufunga maduka yangu ya samaki kadhaa ambayo nilijiwekeza Hapa mjini( Toka mwaka 2016).

Mwanzoni nilijitahidi kukomaa kukodi majenereta kwa watu ili friji ziwe "ON" muda wote na biashara iendelee matokeo yake Gharama za uendeshaji mabucha haya ni za juu kuliko faida inayoingiiaa ...nimepambanaaa weee lkn wakuu nimeshindwa na sasa NIMEFUNGA RASMI.

Niliajiri vijana kadhaa, sasa wameenda home na sijui wataiishije ,mbaya zaidi nilikuwa na mkopo wa milion 5 toka TAASISI YA KIFEDHA (jina kapuni) na sijui itakuwaje.

Hivi karne hii kuna nchi inaweza kuendelea huku kuna mgao wa umeme ambao ni kiungo kwa ukuaji wa uchumi (siamini)?

Kuna rafiki yangu kanambia nisijisumbue na baishara ya inayotegemea umeme kwa sasa mpaka pale faida za jamaa zirudi (Sina uhakika na hili nahisi ni uongo).

Kukodi jenereta dogo ni 10,000 kwa siku ,(Mafuta juu yako) Natumia mafuta ya 10,000 jumla ni 20,000 bado nilipe wafanyakazi , wafanya usafi, kodi ya jengo, ushuru wa nyama na etc.

20,000 kwa mwezi ni 600,000 (Just imagine)

SINA CHUKI, SINA UBAGUZI WA KISIASA, WALA SINA CHAMA

Ila nilikuwa siyo mfuasi wa JPM ila kwa hili hakika yule jamaa ni MWAMBA na MWAMBA Kweli R.I.P

NAMALIZIA KWA KUSEMA

Sijui siasa na sijawahi kufatilia sana ila hata mtoto mdogo anajua kuwa sirikali imefeli pabaya
Pole sana mkuu.......

Umeianza biashara hiyo 2016....ulijifunza lolote kwa wenzako waliokuwa wanaifanya kipindi kile cha mgao koko wa umeme kufikia serikali kutuletea DOWANS NA SYMBION?!!

Je walikueleza kuwa nao waliacha kuifanya hiyo biashara na wananchi tukawa tunanunua SAMAKI FRESH kutoka Ferry(wakazi wa Dar)?!!!

Ama walikuwa na suluhisho jengine?!!

Binafsi naona ni kwanini hayati JPM alituletea UJENZI WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE ili iwe historia huko mbeleni....

Siempre JMT
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom