Nimefukuzwa kazi je ninayo haki yoyote?

zethumb

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
610
137
jamaa aliajiriwa (mkataba wa muda fulani) baada ya miezi miwili akiwa bado probation akaachishwa kazi, je kisheria anazo haki zozote? ukizingatia sheria ya kazi 2004 kifungu cha 35 kina waondoa wafanyakazi walio chini ya miezi sita kupata chochote kuhusiana na unfair termination?
 
Sina uhakika sana ila maana ya probabition ni hiyo, kumtoa mtu kazini ambae hatimizi matakwa ya ajira aliyo ajiriwa nayo ma sidhani kama kuna chochote cha kumlipa hapa zaidi ya siku alizofanyia kazi
 
Kwa kweli hapo hauna haki maana unapokuwa chini ya uangalizi sheria zinaruhusu kuondolewa bila kulipwa.
Pole sana kama ulitolewa kazini kwa majungu na fitina.
 
Back
Top Bottom