Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

Pole sana uporoto 0 1! Natambua upo ktk wakati mgumu sana lakini uwe na Amani mkuu! Kwani hakika nakwambia ya njia pekee ya kwenda kwa BABA ndiyo hiyo,tunampenda Mama ye2 sana lakini BABA yake mwenye uweza amependa zaidi. Rest In Peace Mama!
 
R.I.P pole sana ndg yngu usife moyo mungu akupe nguvu hasa hiki kipindi kigumu cha msiba bwana ametoa na bwana ametwa mapenzi yake yatimizwe amina.mana hiyo ndiyo ahadi yake kuwa kila nafsi itaonja mauti.
 
Poleni sana ww na familia yako kwa ujumla...ni katika mapenzi ya Mungu na daima tusichoke kumwomba,apumzike pema peponi mama!
 
pole sana bro...mlimpenda lakini Mungu amemuhitaji kwa sasa....roho ya mama ilale mahali pema peponi....amen
 
Pole sana rafiki,Mungu akutie nguvu katika wakati huu mgumu na utambue tu kua huko ndiko makazi yetu ya milele tumeandaliwa mimi na wewe tutakua huko siku moja kwa hyo usilie sana rafiki
 
Back
Top Bottom