Nimefika Kigoma Mwisho wa Reli.....Smart na Kasie

Status
Not open for further replies.

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,222
36,238
Habari za asubuhi wapendwa,
Mtakao soma hapa basi mmeze tuu hadi mwisho maana hii ni simulizi ya yaliyotukia kati ya Smart911 na Kasie kuanzia Krismasi hadi mwaka mpya.

Sii kuwa namwamgia sifa au nampamba mwanaume huyu la hasha ila .......... nimemkubali na kwake ndo nimefika na kituo nimeweka.

Ile tumefika safari yetu ilikuwa ni eneo la bichi. (Cottage - house along the beach) Yaani sijawahi hudumiwa na kupewa mahaba yale pamoja na kuishi kwangu kote huku. Nikisema nimefika Kigoma mwisho wa reli maana yake ni kuwa kwa Smart sitoki ng'oo.

Mie bana mapenzi ndo yamenitawala na kwakuwa alishanijua hakufanya makosa.....
Mapenzi ni sanaa na ubunifu kama huna ubunifu na wewe si msanii kwenye mapenzi basi utagongewa kila siku. Basi ile tumefika kwenye ile nyumba akasema tukaoge hehehehehe shughuli ilianzia hapo. Aliwasha mziki wenye sauti ya kati ambao kila chumba cha hiyo nyumba kuna spika hivo popote unapokuwa kwenye hiyo nyumba unasikia mziki.

Wakati tunaoga mziki ulikuwa wa slow jam hahahaha waweza pata taswira hapo movement ilikuwaje maana hadi tunatoka bafuni viwili vilikuwa tayari.

Kwa wiki yote tuliyokuwa kule kila ufikapo wakati wa faragha Smart aliweka mdundo -mziki ambao unatuongoza mapigo ya kupigana miti hahahahahaha asikwambie mtu wee sikilizia kwa jirani tuu maana utamu wake ni balaa.

Siku ya Krismasi akaweka ule wimbo wa darasa weeeh sikuamini kilichotokea maana pale kwenye kurasa ndo ilikuwa balaa....
Pale panapo imba "kamataa, shika Bambataaaaa,......... Kaboka Mchizi nshadata nshadataah......." mdundo wa mziki hapo ni balaa... unashangaa tuu kiuno hakitulii na yeye anazidi kusukumia tuu, kazi ilikuwa kubadili mikao tuu. Mara kwenye kochi mara jikoni mara kwenye ngazi mara kuchutama basi ilikuwa burudani bin rahaa.

Yaani hapo mauno yanaenda na beats huku na yeye anachomeka kulingana na beats weeh utamu wake acha tuu husikii kuchoka wala njaa na kutoka ndani unajiskia kijana mnoo na mwenye nguvu kuliko.

Mpenz wangu Smart nakuheshimu sana, penzi lako nalilinda na kulitunza asilani katu sitakuwa tayari kulipoteza. Nakupendaa.

Baada ya kurudi kutoka vacation yetu nikawa nawaza kuwa baadhi ya wanaume watu wazima kama Mzee Mengi kumuoa binti kama Jackie si kuwa haoni watu wazima wenzake laah bali mambo ya ubunifu na sanaa ndo yanamfanya mtu arejeshwe kuwa ujanani - to rejuvinate.

Sasa kuna siku tulianza libeneke na wimbo wa Bob Marley ule wa...
I wanna love you and treat you right.
I wanna love you everyday and every night
We'll be together for Jah provide the bread
We'll stay in one room of my single bed.......
Is this love is this love is this love or am I dreaming.......

Yaani huo wimbo hizo beats bin midundo daaah unasikia tuu inaingia waah waah waaah na mie narudishia mauno ya mapigo hayo hayo raha yake haielezeki.

Basi nikiwa najiandaa kurudi kazini SA jumatatu natafakari maisha mapya yatavokuwa kwa mwaka wote huu wa 2017.

Nakupenda ssna mpenz wangu bin habibi Smart911 kwako nimetia nanga sisikii wala sioni kwingine.

Jumatano njema nyote na wale ambao tulikuwa hatujasalimiana basi nawapa heri ya mwaka mpya.

Kasie ndo huyoo keshaopolewa mazimaaa.
 
It was great my love.. we both enjoyed alot... The chance we had we used it to the maximum... Huu ni mwanzo tu, bado tena na tena na tena...

If I had to live my life without you near me Kasinde
The days would all be empty
The nights would seem so long
With you I see forever oh so clearly
I might have been in love before
But it never felt this strong with you Kasinde
Our dreams are young and we both know
They'll take us where we want to go
Hold me now Kasinde
Touch me now Kasinde
I don't want to live without you.... Kasinde

Nothing's gonna change my love for you
You ought to know by now how much I love you
One thing you can be sure of
I'll never ask for more than your love

The world may change my whole life through
But nothing's gonna change my love for you
 
kweli binadam tunatofautiana, mi nliweka miziki tena ya slow kabisa , nliweka album ya adele nkaambiwa mamiziki gani hayo, nkaweka midundo nkaambiwa kelele , duh!

Hahahahaaa polee ni kweli binadamu hatufanani japo wote ni dugu moja.
 
ungeweka pambio

Hahahaha kweli hakutakiwa kukata tamaa angeendelea na ubunifu tuu sipati picha katikati ya shughuli mtu anaanza kupiga makofi halafu anaanza kuimba pambio. Sasa mi nazijua za dini sijui kama zipo za kawaida. Heheheheheheh
 
It was great my love.. we both enjoyed alot... The chance we had we used it to the maximum... Huu ni mwanzo tu, bado tena na tena na tena...

If I had to live my life without you near me Kasinde
The days would all be empty
The nights would seem so long
With you I see forever oh so clearly
I might have been in love before
But it never felt this strong with you Kasinde
Our dreams are young and we both know
They'll take us where we want to go
Hold me now Kasinde
Touch me now Kasinde
I don't want to live without you.... Kasinde

Nothing's gonna change my love for you
You ought to know by now how much I love you
One thing you can be sure of
I'll never ask for more than your love
Nothing's gonna change my love for you
You ought to know by now how much I love you
The world may change my whole life through
But nothing's gonna change my love for you

Nothing is gonna change my love for you. .....
Your love is new everyday
I will love you for the rest of my life
You mean alot to me darling
When you whisper sweet nothing words in my ear
I feel so kinder... so adorable.... so unique...
Misses Smart ....remember. ........
Muah!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom